Kwakuwa Kifo kipo Uhuru hautakomaNamuona Kagame kama Putin wa EAC . Atatusurubu muda si mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwakuwa Kifo kipo Uhuru hautakomaNamuona Kagame kama Putin wa EAC . Atatusurubu muda si mrefu
umejuaje? Kwa ushauri onana na uhamiaji kwa msaada zaidi.Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!
Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.
Vyombo vya dola vya Tanzania yetu shtukeni-Rwanda si rafiki mwema hata kidogo!
Hata sasa vita anavyovifadhili huko mashariki ya Congo ni kwa sababu ya tamaa ya eneo lile ili wajitanue na wanyakue Kivu belt yote kwa maslahi ya madini.
Tanzania itambue Rwanda haipaswi kuchekewa hata kidogo
Unaongea hilo kwakua hujui Historia, Ulaya ipi unasema ni Ruksa kuishi popote? Mbulgaria anaruhusa ya kuishi Norway!??Nyerere alisema Binadamu wote ni sawa na Afrika ni moja.Waafrika tuache kutuhumiana ndio maana hatuendelei .Wazungu wa Ulaya ruksa kuishi popote Ulaya mradi uwe na shughuli yako halali Sisi tunazibiana bila sababu za msingi. Tunafungua nchi kwa wazungu wakati Sisi kwa Sisi tunafungiana
Mtu kama ana shughuli halali mwache
Waafrika tufike mahali tuone Afrika kama nchi moja ambako ni kwetu tusiwe na vimawazo vya kila mmoja kuwaza ohh mimi kwangu Rwanda au kwangu Tanzania au Uganda ni ujinga.
Mleta mada hata wewe ruksa nenda Rwanda kawekeze tena kule Taratibu za uwekezaji rahisi mno.Wame digitalize lila kitu husumbuki
Mawazo ya kila ukimuona mnyarwanda kutuhumu jasusi hiyo si sahihi .Nchi zetu maskini mno tuna hitaji kubwa la kiuchumi tuinuke kuliko kuhangaika na kujasusiana na kila mtu kutuhumu maskini mwenzie kuwa anamfanyia ujasusi
Sio waafrika wote au wanyarwanda wote maskiniRwanda inaingia kwa Tanzania mara 36, ni nchi ndogo mno, hizi ni Propaganda za kujipa umaarufu, kwa Umasikini walionao watawekeza kwenye nini?
Kulikuwa na mada hapa JF siku mbili au tatu zilizopita inayofanana na hii yako; lakini haijulikani ilikoishia mada hiyo!Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!
Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.
Vyombo vya dola vya Tanzania yetu shtukeni-Rwanda si rafiki mwema hata kidogo!
Hata sasa vita anavyovifadhili huko mashariki ya Congo ni kwa sababu ya tamaa ya eneo lile ili wajitanue na wanyakue Kivu belt yote kwa maslahi ya madini.
Tanzania itambue Rwanda haipaswi kuchekewa hata kidogo
Ndoto ya Watutsi kuanzisha Bahima Empire ndiyo inatekelezwa hivyo,tulishaonya siku nyingi kuhusu hawa wajivuni.Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!
Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.
Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.
Vyombo vya dola vya Tanzania yetu shtukeni-Rwanda si rafiki mwema hata kidogo!
Hata sasa vita anavyovifadhili huko mashariki ya Congo ni kwa sababu ya tamaa ya eneo lile ili wajitanue na wanyakue Kivu belt yote kwa maslahi ya madini.
Tanzania itambue Rwanda haipaswi kuchekewa hata kidogo
Sema mkuu.Mimi nilishangaa walipotaka kuwapa mkoa wao wa Chato. Hii nchi siku hizi hatupo siriasi.
Mkuu hao jamaa wamejipenyeza sana kuanzia hapo Eagle wing, majeshi yote,TRA na kila sehemu nyeti wapoHaya madai yako umeyathibitisha vipi?
Sijui kama wale UVCCM waliojaa TISS wanaweza kuyafanyia uchunguzi wowote wa maana.
Wakenya waliuza Sana nyumba zao bongo kwa Bei chee..wakati wa lile Sako la raia wa nje kipindi Cha jk..huwa tunatazama Kama hatuoni,utadhani wajinga,muda ukifika utajua wewe ndiye mjingaNadhani Tanzania ndio ina mfumo mbaya sana katika nyanja ya kuingia na kutoka. Ni rahisi sana kwa Mkenya, Mganda, Mrwanda nakadhalika kuingia Tanzania na kuishi bila bughudha yoyote ile kama tu anajua kuongea kiswahili. Wakati huo huo ni ngumu sana kwa Mtanzania kuishi Kenya, Uganda nakadhalika bila bughudha ata kama hizo nchi zinatumia lugha ya Kiswahili na wewe unatambua kuzungumza Kiswahili tena kwa ufasaha.
2007 pale jasusi letu lenye muonekano wa kitusi lilikusanya taarifa nyingi nyeti Rwanda...tangu pale kagame akawa haji hafla za kitaifa tz...2013 ndiyo ile mikwara kwa nchi na jk...Mambo ya nchi huwezi yajua mzee,we ishi,Tia watoto wazuri..wenye kazi yao hawalaliMkuu hao jamaa wamejipenyeza sana kuanzia hapo Eagle wing, majeshi yote,TRA na kila sehemu nyeti wapo
So maana yake ulinzi wetu mipakani ni dhaifu, sioni ubaya mkitoa taarifa kwa mamlaka husika ili hao wavamizi wakamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki.
Ilishashika lakini kabla ya kutimiza ndoto Mungu akatuamuliaMarehemu Mtikila aliwai kusema wanyarwanda wamo mpaka Ikulu ya Magogoni.
Ipo siku Bahima Empire itashika hatamu kama ilivyokusudiwa.
Hatujafumba macho, wanayoyafanya Congo tunayaona wazi wazi, huyo ni rafiki wa mashaka.Hivi mtaacha kuishi kwa hofu ya watutsi hadi lini?
Hizo propaganda mnazopewa za kuwaona ni superior race na intelligent sana zinawadanganya sana
Hao waarabu, wahindi tena wengine hawajui Kiswahili ila ni watanzania mbona hamu hoji?
Mnatakiwa kujua kuwa Kuna Wahima wapo kanda ya ziwa kabla ya uhuru sasa mkiwaona hao kwa kuwa wanafanana na Watutsi basi shingo zinawashupaa na wivu tu
Ndyo taarifa imetolewa hivi sasa, maana viongozi wengi wanafuatilia Jf kwa karibu sanaSo maana yake ulinzi wetu mipakani ni dhaifu, sioni ubaya mkitoa taarifa kwa mamlaka husika ili hao wavamizi wakamatwe na kuchukuliwa hatua stahiki.
Unajua ya kwamba Rwanda ndiyo nchi yemye solaha za nyukilia EAC?
Mbona wapo kila mahali?waache waje bana nasisi tupate mademu wakali wa kitusi