Mmechelewa sana Wapuuzi nyie tunawatamani kweli mtuchokoze ili nchi yenu iwe sehemu ya Taifa letu la Rwanda Oky?
Hahaa, hako ka tarafa kenu ndio kakutupiga sisi mkwara? Mnadhani tuna muda wa kupigana na nyie? Sisi tuna mambo mengi ya kuhangaika nayo asee. Nyie mtapigana na Kigoma peke yake. Na ninavyowafahamu ndugu zetu Waha wa kigoma kwa ubishi, ni siku tatu tu watakua washaingia mpaka Kigali.
East and Central Africa hakuna anaetuweza. Na sababu pekee ya kuwaacha muingie huku kwetu, ni kwakua tunawamudu vizuri kabisa. Tanzania ingekua dhaifu ingeshaanguka zamani sana. Ila mpaka leo tuko hapa East African giants sababu ya uimara wetu.
By the way, kama mimi ndio nikiwa mkuu wa majeshi Tanzania alafu najikuta vitani na Rwanda, basi hiyo ndio itakua vita fupi kuwahi kutokea. Picha linaanza tukiwapa wahutu silaha, ndani ya masaa 24 hakutakua na mtusi hapo Rwanda. Hapo bado kuna wale waasi wenu wanashambulia kutokea DRC. Sasa jeuri ya kupambana na sisi mnaitoa wapi?
Askari wenu wengi tu tumewatrain sisi hapo Monduli, it's because you know there is something worth learning. Kwanini hamkuwapeleka Burundi au Congo? Mnajua bana mziki wetu!
Hako ka nchi kenu tukishusha special forces, tunakachukua within 24 hours, then tunakageuza kua mkoa, na mkuu wa mkoa atakua Joseph Kasheku a.k.a Musukuma!
Aisee msitujaribu, maana pisi zenu tunazitamani kinoma. Chungeni adabu yenu!