Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!

Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.

Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.

Vyombo vya dola vya Tanzania yetu shtukeni-Rwanda si rafiki mwema hata kidogo!

Hata sasa vita anavyovifadhili huko mashariki ya Congo ni kwa sababu ya tamaa ya eneo lile ili wajitanue na wanyakue Kivu belt yote kwa maslahi ya madini.

Tanzania itambue Rwanda haipaswi kuchekewa hata kidogo
Wala hawatafanikiwa, hiyo ni sawa na Ukraine vs Russia, tutawagonga kiasi hakuna rangi wataacha ona, kuwekeza siyo kuchukua kipande cha ardhi yetu,ila kama umemaanisha wanataka kuchukua hiyo ardhi wataanzaje na kitakacho wakuta watajuta
 
Late Mch. Mtikila aliwahi kupiga kelele sana kuhusu huyu gaidi Kagame. Nchi yetu ipo wazi sana, haya majasusi yataingia mpaka chumbani.
 
Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!

Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.

Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.

Vyombo vya dola vya Tanzania yetu shtukeni-Rwanda si rafiki mwema hata kidogo!

Hata sasa vita anavyovifadhili huko mashariki ya Congo ni kwa sababu ya tamaa ya eneo lile ili wajitanue na wanyakue Kivu belt yote kwa maslahi ya madini.

Tanzania itambue Rwanda haipaswi kuchekewa hata kidogo
Tulisha ambiwa kabisa kuwa Rwanda ndiyo nchi marafiki zetu wa kweeeriiiiii kweeeeeeeriiii
 
Andika taratibu kwa ufafanuzi wa kina. Suala la uwekezaji ni la kisheria na kisera, Tanzania inawawekezaji kutoka mataifa mengi Duniani, kwa nini una nongwa na Rwanda?!!

Kuna sheria za uwekezaji, badala ya kuwa na nongwa na Rwanda waambie CCM wenzako wafanyie kazi sheria na sera za uwekezaji ili kujilinda na hatari unazosema. Siyo kwa Rwanda tu, bali wawekezaji wote wa kutoka ndani na nje ya nchi.
Rwanda hawana ujirani mwema kama unabisha watazame wenzetu DRC wanavyo teseka kisa Rwanda.
 
Ni rahisi mrundi au mnyarwanda kuingia huku na kuishi ikiwa anajua kiswahili kuliko mtanzania kuingia rwanda na kuishi kwa sababu
1. Watabzania walio wengi hawana interest na nchi za rwanda na burundi
2. Hakuna mtanzania wa kawaida atatia nia kujua kinyarwanda na kirundi kwa sababu sio dili kwao ILA ni rahisi kwa mnyarwanda na mrundi kujibidisha na lugha ya kiswahili ili aje huku.

Ukiishi mipakani kule utaamini unayo ambiwa
Nimeishi Bukoba kikazi hilo ulisemalo ni sahihi sana nakuunga mkono.
 
kwasasa tumechelewa wanyarwanda wengi wana uraia tayari sasa pa kurekebisha ni kuendelea na zoezi la kutoa namba za NIDA kuzuia wengine wasije!

Kagame ni muuaji namba moja EAC huyu Bimkubwa yuko bize na wajomba Oman sijui kaenda Saudia hana hata habari kuwa Kenya wanahaha kutafuta jeshi likawatoe majambazi wa Kagame waliovamia Congo DR. Angekuwa Kikwete ni mjeshi angeshapeleka jeshi huko kuwatimua maana wakizoa sehemu kubwa ya Congo DR watapata nguvu na labda watatesti kuzipiga kavu kavu na bongo!
 
Inawezekana ni kweli unachokisema lakini pia inawezekana hujataka kumuelewa mleta mada.

Sheria na Sera kwa Tanzania? Labda

Kipindi cha Msoga, kulikuwa na general mmoja wa jeshi, wakasema ni wa huko, kelele kelele zile baada ya operation ile, jambo likafanyika aisee, sisi ndo tukajua kumbe ni kweli na wamepenyezwa wengi. Nadhani M23 alichapika kipindi hicho pia.
Inawezekana hiyo M23 ni mali ya Kagame siyo?
 
Haya madai yako umeyathibitisha vipi?

Sijui kama wale UVCCM waliojaa TISS wanaweza kuyafanyia uchunguzi wowote wa maana.
Hili la Uvccm kuwa kiwanda cha Tiss huwa lonanichefua kupita kipimo
 
Aliyesema tembea uone hakukosea. Kuna watanzania ndani ya wilaya ya Misenyi hawajui Kiswahili, wanaongea Ligands Tu na wanatumia sarafu ya Uganda ila kura wanapiga Tanzania. Waha na Warundi wanaongea lugha moja, vivyo hivyo Kwa mkoa wa mara, Arusha, Kilimanjaro na mikoa ya kusini. Hivyo Wanyarwanda na Warundi waachwe wawekeze kama walivyo wamasai, wakurya, wajaluo, Wanakuwa, Wangoni n.k

Ichukue na hii, polisi, na madreva tax wa Dubai si wazawa wa Dubai
 
Yani mama angenipa tender yakuanzisha jeshi binafsi kama la Putin Wagner. Tunashuka Kigali na miamvuli at night under cover of darkness with highlytech sophisticated assault weapons na kutandanza mkong'oto wa aina yake na baada ya hapo tunabadilisha regime na Rwanda inakuwa mpya na upuuz hautaendelea tena East Africa na maziwa makuu kwa jumla.
UN itakuacha utambe unavyotaka?
 
Hii ni hatari mno kwa usalama wa nchi yetu!

Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza kwenye nyanja mbalimbali kuanzia kilimo,viwanda na biashara mbalimbali kwenye maeneo niliyoyataja hapo.

Ifahamike, sera na wanahistoria wa Rwanda wanatambua eneo lote kuanzia Kagera, Kigoma, Geita na hata Kahama kuishia pale Isaka ni eneo waliloporwa na hayati Mwalimu Nyerere jambo ambalo si la kweli.

Vyombo vya dola vya Tanzania yetu shtukeni-Rwanda si rafiki mwema hata kidogo!

Hata sasa vita anavyovifadhili huko mashariki ya Congo ni kwa sababu ya tamaa ya eneo lile ili wajitanue na wanyakue Kivu belt yote kwa maslahi ya madini.

Tanzania itambue Rwanda haipaswi kuchekewa hata kidogo
Hizi. Akili hizi,kwanini mnaogopa sana watu wenye asili ya ngara,Kagera,Uganda,Rwanda,Burundi?juzi hapa Mbunge wa mureba,chals mwijage alisema anawajomba Uganda!,kitu Cha kawaida,Raisi wetu anawajomba uarabuni!na sasa hv waarabu wananunua mbuga zetu!Hilo haliwatishi!lakini mkiona mtu Kagera,kahama,ngara,Kigoma anafanana na wanyarwanda,mnamuita jasusi!
Huwezi. Kutofautisha wenyeji wa kagera,ngsra na watu wa Rwanda!
Maasai wapo Kenya,na TZ hawawatishi,jaluo wapo Kenya na TZ,hawawatishi,kwanini mnaogopa mtu anayefanana na watu wa Rwanda,
You mother fuckers!stop this triblephobia/ethinicophobia
 
Nadhani Siyo Rwanda tu,hata mataifa mengine! Wanyarwanda wanakuja kuwekeza Tanzania kama Wazungu,Waarabu,Wahindi,Wachina nk wanavyokuja kuwekeza hapa Tanzania.
Ukisema ujasusi hata hao wazungu ni majasusi wa kutupwa kuliko unavyofikiri.
 
Tatizo wajomba wa uganda na burundi hawana hela. Wa uarabuni je?
 
Nadhani Siyo Rwanda tu,hata mataifa mengine! Wanyarwanda wanakuja kuwekeza Tanzania kama Wazungu,Waarabu,Wahindi,Wachina nk wanavyokuja kuwekeza hapa Tanzania.
Ukisema ujasusi hata hao wazungu ni majasusi wa kutupwa kuliko unavyofikiri.
Wazungu wengi wanakuja kama watalii lakini ni majasusi yaliyobobea na huwezi kuyajua.
 
Waliopata kazi ya kwenda kumuuwa Pablo Escobar walikuwa wengi wao ni wanajeshi walipigana vita mbali mbali duniani wakiwa Waingereza kutoka SAS ili kudhibiti nguvu zake na waliowaajiri walikuwa kikundi kingine pinzani Cali Cartels

Wala usiogope sana kama nchi yetu inajua mengi zaidi ya ujuavyo unaweza kusikia taarifa za mtu kaauwawa kisa wivu wa kimapenzi kumbe alifuatiliwa miaka zaidi ya kumi

Chill man
Tumeona wazungu wakiingia kwa kujifanya eti wamekuja kumfuatilia ndege aina fulani huko Kigoma wakiwa wanapita na magari yao tena wameweka na picha ya huyo ndege

Yaani huyo ndege anapatikana Kigoma tu dunia nzima kawa Tanzanite Arusha?

Wote hao tunawajua na wanafuatiliwa na makamera yao wwkijifanya wanampiga picha

Wazungu pia wamekodiwa kwa special mission na wanajulikana
Mr Slim anajifanya ana akili kubwa ila anaangaliwa tu siku tukiamua ataondoka bila hata wao kujua kaondokaje

Hao wanyarwanda hawawezi chochote wao ni hunter hunted tu
 
Back
Top Bottom