Hatari! Majasusi wengi wa Rwanda wanawekeza Kagera, Geita na Kahama mkoani Shinyanga

.Mambo ya nchi huwezi yajua mzee,we ishi,Tia watoto wazuri..wenye kazi yao hawalali
Hapana.
Uwezo wa hawa jamaa katika miaka ya karibuni unatia mashaka sana. Haya unayoweka hapa ni majigambo tu kama yalivyo kati ya Simba na Yanga.

Panahitajika kuwepo na kukumbusha umuhimu wa eneo hili, na kukaza sehemu zilizolegea.

Hii siyo kazi ya kufanya kwa mazoea tu.
 
Rais mwenyewe hayajui mapana ya tiss..wewe umefanya vipi tathmini ya tiss
 
Fikra potofu kabisa.
Hao unaowasema wa Dubai, hata hujihangaishi kujua kwamba hawana haki zozote kama raia wa Dubai!

Hayo makabila ya mipakani ni tofauti kabisa na hili swala linalofanywa kwa maksudi mazima tena kwa kuweka mikakati ya nchi husika dhidi ya nchi nyingine.

Hivi unao uwezo wa kuchambua mambo kweli?
 
Tunaonewa sana sisi wenye asili ya wahima na tumezaliwa hapa wala hatujui chochote kuhusu Rwanda.Nilishawahi kukutana na
huo ubaguzi mala nyingi
 
Sasa wewe haya unayajuaje?
Tusipotezeane muda hapa. Endlea na yako huko.
Tiss unachukulia,unatrain,unapewa handler,ikitokea mission anakuita mahali...Wana bar zao,au popote pale,unapewa mission,unatekeleza,unangoja mission nyingine au unauawa...hapo utaijuaje tiss!?
 
Tiss unachukulia,unatrain,unapewa handler,ikitokea mission anakuita mahali...Wana bar zao,au popote pale,unapewa mission,unatekeleza,unangoja mission nyingine au unauawa...hapo utaijuaje tiss!?
Achana na usinihusishe na vistori vya vijiweni.
Nimekwambia tafuta mada nyingine, achana na usiyoyajua.
 

Hawa wanyarunda si watu wa kucheza nao. Mbali na hao majasusi unaosema, wapo wengi sana wasiofahamika kuwa ni majasi na wameajiriwa serikali na pia wengine wameolewa Tanzania. Ni vyema mamlaka husika waanze ufuatiliaji wa wanayarunda walio nchini wajulikane wanachokifanya, vinginevyo watatuweka mahali pabaya
 
waache waje bana nasisi tupate mademu wakali wa kitusi

aw watu ni hatari sana. Ukioa mnyarwanda, basi ujue maisha yakoyapo hatarini. Hawa watu wana siri nzito sana. Lazima azae na mnyarwanda hata kama ni mke wako. Pia wanafanyaga vikao vyao usiku, mke ataaga kuwa anasafiri kumbe ameenda kweny vikao vyao vya siri
 

Sifa nyingine bana ni kichekesho tu.
 

Russia alidhani haya haya dhidi ya Ukraine, saa hii ngoma imekuwa nzito.
 
Acheni roho mbaya..ndio amana miafrika hatuendelei..yani ndugu zetu weusi tunawaona maadui..mipaka ya wazungu isituletee utengano na uadui.

Yani unamkaribisha mwarabu halafu una mfukuza mrwanda..huu ni upumbafu na ukosefu wa akili kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 

Tiss inapambana zaidi na wapinzani, mambo haya kwao sio issue kabisa.
 
Ukosefu wa akili tu..kwahiyo kosa wao kuoa na kuolewa Tanzania..kama wamezaliwa na kuwa raia wa Tanzania ni kosa kufanya kazi serikalini..hivi hizi akili za kijinga hivi huwa mnazitolea wapi.

Hao ndio ndugu zetu kuliko ngozi nyeupe..acha waje acha wajae kila pahala ndani ya nchi yetu.

Kingine kama vipi na ninyi pelekeni watanzania huko wakafanye the same shida nini.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…