Unajua maana ya JKT..?
Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "
Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Basi lalamikia misconduct ya military trainers!Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?
Ingependeza kama wanasiasa wanaolazimisha watoto wa makabwela kwenda kuteseka kwenye makambi ya jasho na damu nao watoto wao wangepelekwa huko wakateseke. Hawa wapuuzi watoto wao wapo Oysterbay, Msasani na Masaki wanakula bata huku watoto wa wenzao wanateseka kwenye makambi ya mateso. Inauma na inasikitisha sana. Hivi ni lini hawa wachumiatumbo wataacha kuwatesa watoto wa walalahoi? Kuwalazimisha watoto wa maskini kwenda JKT sio tu kunasababisha mateso kwa watoto bali pia kunaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa wazazi maskini ambao wamejikamua hadi senti ya mwisho kuwasomesha watoto wao.
Kibaya zaidi makambi haya yanachangia pakubwa sana kuharibu watoto wa kike pale maafande wanapowalazimisha kuwa wake zao. Ukiruhusu mtoto wako wa kike aende JKT asiporudi na mimba lazima arudi na UKIMWI. Vitendo vya unyanyasaji wa kingono wanavyofanyiwa watoto wa kike wawapo kwenye makambi haya ya mateso havimithiliki. Hivi hawa wapuuzi wanajisikiaje watoto wa watu wanapoambukizwa UKIMWI na mimba huku watoto wao wakila bata? Hawana khaya?
Tunasingizia maprofesa wa vyuo vikuu kuwajaza mimba na UKIMWI watoto wa kike na kuwapa digrii za chupi bure bilashi. Watoto hawa huathirika pindi wanapokuwa kwenye makambi ya mateso ya JKT. Ni wao ndio huwaambukiza UKIMWI maprofesa wakware wakidhani kuwa wako salama kumbe walitoka na maradhi hayo JKT. Natoa wito kwa wazazi kuwazuia watoto wao wasiende kutwezwa kwenye haya makambi ya kijanjaweed na yasiyokuwa na adabu hata kidogo. Mzazi chukua hatua; mlinde mwanao dhidi ya utwezwaji!
JKT ni nzuri sana, ingekuwa inawezekana ( badget ya serikali ingetengwa wakawa wanakaa hata mwaka mmoja ). Lakini pia wangerudi katika misingi yake na sio hii inayumbishwa na siasaBasi lalamikia misconduct ya military trainers!
Otherwise, JKT ni taasisi muhimu inayowapa vijana wengi exposure ya maisha halisi ya Mtanzania. If you didn’t know, kuna watoto mayai ambao bila kwenda JKT wanakuwa hawajui chochote kuhusu maisha ya Mtanzania wa kawaida. Such kind of kids take everything for granted!
Mzee wa fisihi nimekuelewa mno.. JKT imetoa mazao mazuri sana kwenye sekta nyingi, huoni kama ni jambo jema..?Mtu hajifunzi uzalendo kwa miezi mitatu.
MTU hujifunza uzalendo kutoka
a) Familia yake (wazazi na walezi)
b) Shuleni
c) jamii yake
d) Viongozi wake
Kama hiyo listi hapo juu kuna mafisadi, wachumia tumbo, wabinafsi, wenye dhulma.
Huyo mtoto hata akae huko jeshini miaka 10 hawezi kuwa mzalendo
Kama mzazi na mlezi ( ukiachana na miiko ya kazi ) unajia njia sahihi ya kumsaidia na kumlinda, na sio kuleta uharibifuImagine toto umeliona linatingisha alafu wewe ni mkufunzi alafu ni binadamu unahsia utafanyaje kama ni wewe?
Basi lalamikia misconduct ya military trainers!
Otherwise, JKT ni taasisi muhimu inayowapa vijana wengi exposure ya maisha halisi ya Mtanzania. If you didn’t know, kuna watoto mayai ambao bila kwenda JKT wanakuwa hawajui chochote kuhusu maisha ya Mtanzania wa kawaida. Such kind of kids take everything for granted!
Gentleman,Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?
Ingependeza kama wanasiasa wanaolazimisha watoto wa makabwela kwenda kuteseka kwenye makambi ya jasho na damu nao watoto wao wangepelekwa huko wakateseke. Hawa wapuuzi watoto wao wapo Oysterbay, Msasani na Masaki wanakula bata huku watoto wa wenzao wanateseka kwenye makambi ya mateso. Inauma na inasikitisha sana. Hivi ni lini hawa wachumiatumbo wataacha kuwatesa watoto wa walalahoi? Kuwalazimisha watoto wa maskini kwenda JKT sio tu kunasababisha mateso kwa watoto bali pia kunaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa wazazi maskini ambao wamejikamua hadi senti ya mwisho kuwasomesha watoto wao.
Kibaya zaidi makambi haya yanachangia pakubwa sana kuharibu watoto wa kike pale maafande wanapowalazimisha kuwa wake zao. Ukiruhusu mtoto wako wa kike aende JKT asiporudi na mimba lazima arudi na UKIMWI. Vitendo vya unyanyasaji wa kingono wanavyofanyiwa watoto wa kike wawapo kwenye makambi haya ya mateso havimithiliki. Hivi hawa wapuuzi wanajisikiaje watoto wa watu wanapoambukizwa UKIMWI na mimba huku watoto wao wakila bata? Hawana khaya?
Tunasingizia maprofesa wa vyuo vikuu kuwajaza mimba na UKIMWI watoto wa kike na kuwapa digrii za chupi bure bilashi. Watoto hawa huathirika pindi wanapokuwa kwenye makambi ya mateso ya JKT. Ni wao ndio huwaambukiza UKIMWI maprofesa wakware wakidhani kuwa wako salama kumbe walitoka na maradhi hayo JKT. Natoa wito kwa wazazi kuwazuia watoto wao wasiende kutwezwa kwenye haya makambi ya kijanjaweed na yasiyokuwa na adabu hata kidogo. Mzazi chukua hatua; mlinde mwanao dhidi ya utwezwaji!
Wewe Mnyarwanda unashida ya afya ya akili. Hangaika na Rwanda yako TZ tuachie sisi wenyewe.Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?
Ingependeza kama wanasiasa wanaolazimisha watoto wa makabwela kwenda kuteseka kwenye makambi ya jasho na damu nao watoto wao wangepelekwa huko wakateseke. Hawa wapuuzi watoto wao wapo Oysterbay, Msasani na Masaki wanakula bata huku watoto wa wenzao wanateseka kwenye makambi ya mateso. Inauma na inasikitisha sana. Hivi ni lini hawa wachumiatumbo wataacha kuwatesa watoto wa walalahoi? Kuwalazimisha watoto wa maskini kwenda JKT sio tu kunasababisha mateso kwa watoto bali pia kunaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa wazazi maskini ambao wamejikamua hadi senti ya mwisho kuwasomesha watoto wao.
Kibaya zaidi makambi haya yanachangia pakubwa sana kuharibu watoto wa kike pale maafande wanapowalazimisha kuwa wake zao. Ukiruhusu mtoto wako wa kike aende JKT asiporudi na mimba lazima arudi na UKIMWI. Vitendo vya unyanyasaji wa kingono wanavyofanyiwa watoto wa kike wawapo kwenye makambi haya ya mateso havimithiliki. Hivi hawa wapuuzi wanajisikiaje watoto wa watu wanapoambukizwa UKIMWI na mimba huku watoto wao wakila bata? Hawana khaya?
Tunasingizia maprofesa wa vyuo vikuu kuwajaza mimba na UKIMWI watoto wa kike na kuwapa digrii za chupi bure bilashi. Watoto hawa huathirika pindi wanapokuwa kwenye makambi ya mateso ya JKT. Ni wao ndio huwaambukiza UKIMWI maprofesa wakware wakidhani kuwa wako salama kumbe walitoka na maradhi hayo JKT. Natoa wito kwa wazazi kuwazuia watoto wao wasiende kutwezwa kwenye haya makambi ya kijanjaweed na yasiyokuwa na adabu hata kidogo. Mzazi chukua hatua; mlinde mwanao dhidi ya utwezwaji!
Kuna watu Wala rushwa na wasio wazalendo kama wanajeshi!? Kwani kuwa JKT ndo kuwa mzalendo?Unajua maana ya JKT..?
Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "
Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Huko ni kukosa uadilifu tu. Hupaswi kufanya mapenzi na mtu yeyote ambaye unamsimamia kwa namna yoyote ile, iwe jeshini, chuoni, shuleni, mahali pakazi, you name it!Imagine toto umeliona linatingisha alafu wewe ni mkufunzi alafu ni binadamu unahsia utafanyaje kama ni wewe?
Kwani ulifundishwa kuitukuza CCM..?Mimi nimepita JKT lakini sina uzalendo wa kuitukuza CCM na wahuni wake.
Mzee wa fisihi nimekuelewa mno.. JKT imetoa mazao mazuri sana kwenye sekta nyingi, huoni kama ni jambo jema..?
Wapo wajinga ambao wamekuwa samaki wakavu hawakunjiki tena jeshi linajitahidi kuwamwagia maji na kuwapinda hivyohivyo..
Tulipongeze jeshi letu kwa mazuri yake