Kennedy
Platinum Member
- Dec 28, 2011
- 62,832
- 77,037
Pole Sana Afisa UtumishiInasikitisha sana
Hii Ndiyo Dunia
Pole Sana Afisa UtumishiInasikitisha sana
Uko sahihi Mkuu juulize tuu hawa viongozi walioko sasa madarakani wengi wao walipitia hayo mafunzo Je wanauzalendo gani juu ya Mama Tanzania.?Mtu hajifunzi uzalendo kwa miezi mitatu.
MTU hujifunza uzalendo kutoka
a) Familia yake (wazazi na walezi)
b) Shuleni
c) jamii yake
d) Viongozi wake
Kama hiyo listi hapo juu kuna mafisadi, wachumia tumbo, wabinafsi, wenye dhulma.
Huyo mtoto hata akae huko jeshini miaka 10 hawezi kuwa mzalendo
Fala sana jamaa, ila kesho naanza process ya kupambania kuwa afisa UtumishiPole Sana Afisa Utumishi
Hii Ndiyo Dunia
JKT sio tuisheni mkuu. Ni makambi ya mateso kama yalivyo makambi ya mateso ya GwantanamoUnajua maana ya JKT..?
Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "
Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Hayo Eleza wewe, mm nimejadili kua JKT hakuna unyanyasaji wa kijinsia kama anavyo dai mleta mada, na hakuna UKIMWI wala uharibifu kama inavyo daiwa.
Tulipita tukayaona tukayaishi, walio kuja na bk waliondoka nazo, Walio amua kutoa K walifanya kwa mapenzi yao wenyewe.
Kama una mtoto wa kike mpeleke tu JKT mkuu. Ila nakushauri kabla ya kumpeleka huko mpime mimba na UKIMWI. Akirudi mpime pia. Asipokuwa ameambukizwa moja ya hayo magonjwa mawili au yote mawili kwa pamoja, njoo unishukuru.Si bora huku ni wahitimu wa kidato cha 6 tu nchi nyingine ni kwa kila raia ni lazima kupata mafunzo ya kijeshi bila kujali na ukithubutu kukwepa jera inakuhusu.
Huyo binti yako unaye sema ataenda kunyanyaswa kijinsia si ajabu kukuta amesha liwa na wanaume si chini ya 15 tena wengine wanaokuzidi umri mpaka ww baba yake.
Pole sana mkuu. Haya ni mojawapo ya madhara makuu ya JKT. Kama una mtoto wako wa kidato cha sita usithubutu kabisa kumpeleka huko kwenye makambi ya mateso na uovu.Daaah umenikumbusha mbali sana Mwaka 2017 nikiwa Bulombora JKT "B" Coy.
Nilienda mzima kabisa nimetoka huko naumwa Mgongo, Nashukuru Mungu nilikujaga kupona mwaka 2022, takribani miaka 5 baadae baada ya kutoka huko.
Ilikuwa mjibu wa sheria Operation Tanzania ya Viwanda kama sijakosea.
Jeshini kuna mambo ya kipuuzi sana, hasa kwa maofisa wa chini. Wanaolifaidi jeshi ni wale maofisa wenye vyeo vikubwa. Jeshini kuna upumbavu mwingi sana mkuu.Umeongea point nzuri sana.
Nilipitia jeshi na sitaweza kumtaka mwingine apitie mateso ya kipuuzi namna ile
Bnt ukiwa legelege lzm utagongw tuGentleman,
ni vizuri zaidi vijana wote wanaohitimu masomo ya sekondari waende kupata mafunzo ya ukakamavu, utii, uzalendo, utayari na stadi za maisha katika makambi ya Jeshi la Kujenga Taifa, ili hatimae tuwe na vijana wenye moyo wa kulijenga taifa lao kwa kufanya kazi kwa bidii na kujitegemea.
hakuna haja ya upotoshaji useless hata kidogo kwenye hili. Ni vizuri kua wakweli na itapendeza zaidi 🐒
Mbona karibia mafisadi wote na waliouza rasilimali za nchi kiholela wamepitia JKT na wengine kuwa maafisa wa jeshi kabisa??Unajua maana ya JKT..?
Acha porojo bwashee " Mtu hujaribiwa kwa tamaa zake "
Bahati yao nipo mbali kimasomo ila ninhehakikisha miezi yao mitatu wanatoka wakiwa wazelendo kwelikweli
Hatari inatoka wapi waache hawa Gen z wakashikishwe adabu na halafu hakuna sehemu ambayo inafundisha nidhamu kama JKT wanangu wa Kanembwa mpo?Leo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kweaji!
Binti yako kama anatabia za kimalaya ukimwi na mimba atazipatia hata akiwa nyumbani kwako ungetafuta kusingizio kingine ,labda za kutoona faida ya hiyo jkt ungekuwa na hoja lakini sio hicho kisingizio cha kipumbavu ulicho kisema.Kama una mtoto wa kike mpeleke tu JKT ni mkuu. Ila nakushauri kabla kabla ya kumpeleka huko mpime mimba na UKIMWI. Akirudi mpime pia. Asipokuwa ameambukizwa moja ya hayo magonjwa mawili au yote mawili kwa pamoja, njoo unishukuru.
Hao gen z waende JKT kwa lazima,Wana mapungufu mengi mnoLeo nimeona mkeka wa wahitimu wa kidato cha sita wapatao 60,000 ambao wamelazimishwa kwenda JKT kwa lazima kwenye makambi mbalimbali waliyopangiwa kuripoti kuanzia tarehe 01.07.2026. Huyu mtu aliyelazimisha kutungwa sheria ya wanafunzi wa kidato cha sita kwenda JKT kwa lazima ni mwendawazimu. Hivi anafahamu kweli matatizo ambayo wanafunzi hawa wanapitia wawapo huko kwenye makambi ya mateso?
Ingependeza kama wanasiasa wanaolazimisha watoto wa makabwela kwenda kuteseka kwenye makambi ya jasho na damu nao watoto wao wangepelekwa huko wakateseke. Hawa wapuuzi watoto wao wapo Oysterbay, Msasani na Masaki wanakula bata huku watoto wa wenzao wanateseka kwenye makambi ya mateso. Inauma na inasikitisha sana. Hivi ni lini hawa wachumiatumbo wataacha kuwatesa watoto wa walalahoi? Kuwalazimisha watoto wa maskini kwenda JKT sio tu kunasababisha mateso kwa watoto bali pia kunaongeza gharama zisizokuwa za lazima kwa wazazi maskini ambao wamejikamua hadi senti ya mwisho kuwasomesha watoto wao.
Kibaya zaidi, yapo malalamiko kwamba baadhi ya makambi haya yamekuwa yakihusishwa na vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya watoto wa kike. Wapo wazazi wanaohofia usalama wa watoto wao kutokana na madai ya mimba na maambukizi ya HIV magonjwa yanayoripotiwa kutokea kwa baadhi ya wahusika waliopita kwenye mazingira hayo
Kuna wakati Tunasingizia maprofesa wa vyuo vikuu kuwajaza mimba na UKIMWI watoto wa kike na kuwapa digrii bure bilashi. Lakini kuna madai Watoto hawa huathirika pindi wanapokuwa kwenye makambi y. Natoa wito kwa wazazi kuwazuia watoto wao wasiende kutwezwa kwenye haya makambi ya kijanjaweed na yasiyokuwa na adabu hata kidogo. Mzazi chukua hatua; mlinde mwanao dhidi ya utwezwaji!
JKT ina faida sana kwa hiki kizazi,hiki kizazi kina mapungufu mengi aiseeBinti yako kama anatabia za kimalaya ukimwi na mimba atazipatia hata akiwa nyumbani kwako ungetafuta kusingizio kingine ,labda za kutoona faida ya hiyo jkt ungekuwa na hoja lakini sio hicho kisingizio cha kipumbavu ulicho kisema.