Kwamba mtoto kuanzia shule ya msingi miaka 7 mpaka sekondari miaka 6 jumla 13 asijue wala asiwe na exposure ya maisha halisi ya mtanzania?😂😂😂
Lakini apate hiyo exposure kwa miezi nutatu? Really?
Unajua umeitukana nchi yako kwa kiwango cha jus Sana?
Huko shuleni walienda kufanya nini?
Wizara ya elimu inafanya KAZI gani?
Mitaala, miongozo ya elimu inaumuhimu gani?
Huko JKT labda uniambie wanaenda kufundishwa ukakamavu, ulinzi binafsi (basics), kidogo ina logic Kwa hiyo miezi mitatu.
Nje ya hapo unaleta siasa na ulaghai.
Walionda JKT Wapo huku mitaani wengi tunawaona,