Hatari ya mtandao wa Tinder Tanzania

ACha kutisha watu
 
Kama unatafuta mchumba online ile serious achana na mitandao ya bure badala yake nenda kwenye ile ambayo ili ufungue account ni lazima ulipie kwanza, nadhani huko kidogo kuna kaunafuu.
tutafikiria ushauri wako
 
Kwa Mr Right hoja yako inamake sense ila kwa tinder sidhani, coz tinder hakuna mwanamke anaetafuta mpenzi ila kuna wanawake wanaptafuta pesa mkuu.
Kote vile vile mapenzi biashara nzuri kwa mwanamke mtaji mwili tu na vitobo vyake alivyonavyo
 
Nyingine inaitwa KONEXON
 
#KONEXON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ