Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Ndo maana yakeAnaikuza kijanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana yakeAnaikuza kijanja
Wapi hili mkuu, tugawane utajiriChimbo lingine linaitwa ESKIMI
ACha kutisha watu𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
View attachment 3200971
Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔
Imekuwaje???👋
Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.
Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.
View attachment 3200972
Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.
Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.
View attachment 3200973
Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.
Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder 👇
• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.
View attachment 3200974
• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu View attachment 3200980
• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.
• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.
• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.
Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu 🖐️
Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
We ingia google usachi,ni mtandao wa mahusiano una madem kama woteWapi hili mkuu, tugawane utajiri
Mafisi popote mpo!!
tutafikiria ushauri wakoKama unatafuta mchumba online ile serious achana na mitandao ya bure badala yake nenda kwenye ile ambayo ili ufungue account ni lazima ulipie kwanza, nadhani huko kidogo kuna kaunafuu.
Mweeee!🤣🤣🤣🤣mliopata wachumba online mje basi mtupe uzoefu 😅nawasubiri kwa hamu na mimi nitafute wangu wa Maisha.
Ndio 😜Mweeee!🤣🤣🤣🤣
Mchumba, kuelimisha ntakuelimisha tukishafikia muafakaUmekuja kunielimisha au kama mchumba mwenyewe 😅
Hawana hela mikopo na mitaji ya Halmashauri mnawanyima sasa wakale wapi zaidi ya kwenda kujiuza tinder na badoo?Duh aiseee
Kote vile vile mapenzi biashara nzuri kwa mwanamke mtaji mwili tu na vitobo vyake alivyonavyoKwa Mr Right hoja yako inamake sense ila kwa tinder sidhani, coz tinder hakuna mwanamke anaetafuta mpenzi ila kuna wanawake wanaptafuta pesa mkuu.
We njoo tu tufanye maisha na mimimliopata wachumba online mje basi mtupe uzoefu 😅nawasubiri kwa hamu na mimi nitafute wangu wa Maisha.
Km wewe tinder unaliwa kwa 20k tu tena dushe unalinyonyaNdio 😜
upload picha yako watakuja tumliopata wachumba online mje basi mtupe uzoefu 😅nawasubiri kwa hamu na mimi nitafute wangu wa Maisha.
Nyingine inaitwa KONEXON𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮
View attachment 3200971
Wimbi la watumiaji wa mtandao wanawake kwa wanaume wanatafuta wapenzi inazidi kushika Kasi nchini Tanzania 🤔
Imekuwaje???👋
Kuna tabia kubwa inazidi kushika Kasi nchini Tanzania ya wadada lika mbalimbali kujirahisisha kwa kutaka maisha mepesi ni hatari Sana.
Kuna program inaitwa tinder kazi yake kutafuta mchumba online ukimpata basi mnakua wapenzi.
View attachment 3200972
Ni app ambayo wengi wanaamini zinaweza kuwasaidia kupata upendo Toka kwa watu wengine lakini ni hatari maana inasababisha tatizo la afya ya akili ukiendekeza sana.
Kumekua na wimbi kubwa la wadada wa kitanzania kuweka picha zao na maelezo kadhaa kujihusu wao kuwa wanatafuta wapenzi kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi jambo hii sio nzuri kabisa.
View attachment 3200973
Njia wanayotumia sio ya kujiheshimu na wajichukulia poa kabisa utakuta mdada anaandika kwenye mtandao jina lake, mahali anapoishi , anatafuta mwanaume wa aina Gani nk unafikiri ni salama.
Unajua kwanini Acha kabisa kutumia mtandao wa tinder 👇
• inasababisha wasiwasi pamoja na stress mfadhaiko haswa inapotokea Kila ukiweka taarifa zako ujampata mtu sahihi.
View attachment 3200974
• pia Kuna matapeli wengi wanatumia picha za sura za watu wengine kujiunga na kutapeli watu View attachment 3200980
• Kuna magonjwa unaweza kuyapata bila kutarajia.
• pia inahusisha masuala ya picha ya mwili ila kiuwalisia hujui chochote nyuma ya Huyo mtu unayetaka kuanzisha uhusiano naye jihadhari.
• unaweza tekwa bila kujijua na kutumika kingono
• thamani, hadhi yako kama mwanamke au mwanaume inapungua maana taarifa zako zote mtandaoni zipo kukuhusu wewe nk.
Wadada wakaka Acheni kutumia mtandao kutafuta wachumba mjiheshimu 🖐️
Vipi umeshawahi kutumia mtandao wa kutafuta mchumba online ulifanikiwa kufunga naye ndoa tuachie maoni yako ?
#KONEXON𝗛𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝘁𝗶𝗻𝗱𝗲𝗿 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮

Nyingine inaitwa KONEXONAsante kwa kunipa chimbo jipya wamefungasha 🙏🙏🙏🙏
Tinder huongei sana ukionyesha interest to unapewa location huyo shangazi anajizungushaupload picha yako watakuja tu
Kule ni maelekezo moja tuTinder huongei sana ukionyesha interest to unapewa location huyo shangazi anajizungusha
Umesha balee au kuvunja ungo kwan? Upewe uzoefu waharakamliopata wachumba online mje basi mtupe uzoefu 😅nawasubiri kwa hamu na mimi nitafute wangu wa Maisha.