Hizo ni ajenda za wakubwa(mind control)Siku hizi hata series bila jinsia moja kupelekeana moto wanaona sijui stori haikamiliki🏃🏃🏃
Na watoto wanavopenda katuni. Wameona waanze na watoto ili wawapandikize hizi tabia wakiwa bado wadogo ili wakikuwa wawe mashoga makomavu yaanze kupigania na haki za ushoga na mashoga kama jinsi walivo wao wazungu.Sahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19View attachment 1972273Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao si tatizo kama ilivyo bangi na mihadaratI kwenye baadhi ya mataifa duniani
Nina muda sasa marufuku watoto kuangalia katuni.na watoto wanavopenda katuni. Wameona waanze na watoto ili wawapandikize hizi tabia wakiwa bado wadogo ili wakikuwa wawe mashoga makomavu yaanze kupigania na haki za ushoga na mashoga kama jinsi walivo wao wazungu.
nahisi hata hizi chanjo muda si mrefu, wake kwa waume wataanza kugombania vijora.Aisee
dah, mkuu!nahisi hata hizi chanjo muda si mrefu, wake kwa waume wataanza kugombania vijora.
Na watoto watakao kuja kuzaliwa sijajua watakuwa wa aina gani.
Wanajua how to destroy mind ,control mind,rule your mind,to plant anything into your mind,to impact anything,yaani achana na mzungu bana Kama aliniambia kuwa dini yako , jina lako,chakula chako, mavazi yako,lugha yako,Mungu wako,rangi yako , yaani kila kitu chako ni kibaya hakifai Ila Cha kwao na watu wamefuata usicheze nao,later hii same sex itazoeleka.Itafika kipindi kila katuni, game, muvi, kitakuwa na ujinga huu, Yaani hawa washenzi wanaharibu sana
Standard ya kila kitu wameiset wao hamna wa kupinga!Wanajua how to destroy mind ,control mind,rule your mind,to plant anything into your mind,to impact anything,yaani achana na mzungu bana Kama aliniambia kuwa dini yako , jina lako,chakula chako, mavazi yako,lugha yako,Mungu wako,rangi yako , yaani kila kitu chako ni kibaya hakifai Ila Cha kwao na watu wamefuata usicheze nao,later hii same sex itazoeleka.
Yaani aliyekuletea dini ukajua jema na Baya Leo hii unamkosoa aliyekutoa tongotongo kweli
Mie naona saivi mtu akasoma elimu Yao bado anataka kuwa criticise.Standard ya kila kitu wameiset wao hamna wa kupinga!
Mbele kiza...