mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Bbc swahiLi ni watu wa hovyo sana
Kwahiyo kufundisha watoto ushoga ndio kitu cha maana kwako!!??
Mxiuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bbc swahiLi ni watu wa hovyo sana
Kabla ya ukristo na uislamu mambo yalikuwaje? Masheikh na mapadiri si ndo wanaongoza kwa ufirauni?Wazazi wenyewe hamsali wala kuswali.
Sasa watoto wenu mnawafunza nn kama sio ushoga wa hizo katuni tu??.
Mabeberu watu wabaya sana
Kabla ya ukristo na uislamu mambo yalikuwaje? Masheikh na mapadiri si ndo wanaongoza kwa ufirauni?
Si Bora hata kwa wasiosali!!!
Yes ma'mMbaya zaidi ni yule anayezaa watoto na kuacha kuwajibika katika makuzi yao.
Unakuta mzazi anampa access mtoto kuangalia vitu ambavyo hata yeye havijui. Kuna wakati heri usitafute mtoto kama unajua muda wa kumlea ipasavyo huna
Haijalishi ndugu, kupakuana tope ni tabia isiyokubalika hata kidogo, ni kupiga vita tu iwe kwa wakubwa au watotoHizo ni adult swim tafadhali sio ajili ya watoto.
😍🙏Haijalishi ndugu, kupakuana tope ni tabia isiyokubalika hata kidogo, ni kupiga vita tu iwe kwa wakubwa au watoto
Imefika wakati katuni zetu tu ndio waonyeshwe watoto, la sivyo wazungu watafanya watoto waamini kila kitu chao ni bora
Nakushauri uanze kuwasomea vitabu vya hadithi vya zamani maana bado kidogo tu utaona wanaingia na huko mf, mchezaji wa kiume anashangilia kwa kumpiga denda mwanaume mwenzie, na wanajua watoto wanapenda tom&jerry napo mda kidogo wataviingiza tu maana wanatumia kila mbinu jamii zivikubari na kuona hvyo vitu vya kawaidaVijana wangu wakitoka Shule nitawawekea Channel ya Boomlang kwaajili ya Kuona Tom & Jerry Show pamoja na Mr Bean cartoon. Baada ya hapo watakuwa wanaangali mpira na Mimi au kufanya homework.
Mambo mengine ya wazungu ni ya Kisen...ge sana, kama wao wanatamani kuwa machoko wawe lakini sio kutufanyia hivi kwa vijana wetu kupitia cartoon zao
Hapa ndipo tunapo feli maana wahamasishaji tunaishi nao kwenye jamii zetu na tumeamua kukaa kimya pasipo kujua kuwa watoto wetu nao wanaweza kuiga tabia zaoKatika suala ambalo serikali haiwezi kulipiga vita ni hili LA ushoga. Watafungia porn sites lakini kina James delicious wataendelea kujibebisha mitandaoni wazi wazi na serikali haina ubavu wa kuwastopisha.
Kila mtu apambane kivyake...