Baada ya kuhakikisha dunia imewapokea na watoto wanaipenda sana, sasa wameamua kuja kuwafundisha watoto wetu mapenzi ya jinsia moja, yaani ushoga
In an upcoming comic the new reiteration of Superman, Jon Kent, will be pictured in a same-sex kiss.
www.bbc.com
View attachment 1972877
Wazazi tuwe makini sana na hizi mambo za kuachia watoto t.v. waangalie cartoons tusizojua content zake.
Kwa urahisi zaidi, wewe mzazi angalia cartoon mwanzo mwisho na i download ili unapowaachia watoto wako uwe una uhakika wanaangalia unachokijua na kilichokua salama.
Teknolojia inatukimbiza mbio, hatuwezi zuia kila kitu lakini vile vilivyo ndani ya uwezo wetu tuvizuie
Pia tujaribu kuwapunguzia watoto muda wa kukaa kwenye t.v. na laptops au sim na kuwapa activities za kuwajenga.
Wizara ya Afya Tanzania
TCRA
Mungu atusaidie🙏