love life live life
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 2,584
- 3,051
kuna ile stori ya bwana mmoja(bedui) kusafir na ngamia wake akiwa jangwani bwana yuleMie naona saivi mtu akasoma elimu Yao bado anataka kuwa criticise.
Saivi wanahimiza kuchanjwa Ila hawako tayari kwa side effects za chanjo.
Hawa ni watalaamu waafrika wanahimiza sie tuchanjwe Ila hawajui chemistry, compounds and molecular composition ya chanjo
akatoa hema yake apumzike kutokana na jua kali mda kidogo mvua ikaanza kunyesha ngamia akaomba bwana yule
amruhusu aingize kichwa tu ili asiloane bwana yule akamruhusu mvua ikaendelea ngamia akomba tena aingize mabega
bwana yule akamruhusu mvua ikaendelea mwisho wa siku bwana yule alijikuta nje akinyeshewa na mvua huku
ngamia akiwa kajaa ndani ya hema bwana yule kumuomba ngamia atoke ngamia kagoma.
Haya mambo nimeyashuhudia shule moja ya wavulana watupu sekondari kwa vijana kama wanne waliofukuzwa shule.
Tena hawakuanzia secondary bali shule ya msingi ni huzuni jinsi wazazi wa watoto hao walivyokuj kuwaijia watoto wao.
Hatujui ni wangapi hawakuwahi kujulikana.
Hakuna ambaye yuko salama katika hili yakishakita mizizi hakuna atakaye weza kuyarekebisha tena, wala kumuokoa mtoto wake.
Hizo movie, cartoon, mitandao ya kijamii ndio walezi wakubwa wa watoto wetu.
Zaman ustaarabu ulikuwa mzaz kukuchaguliw mke au mume, tumetoka huko imekuwa kuchagua mke mwenyewe huko mbele
ustaarabu itakuwa kumuacha mtoto aamue kama awe shoga au tofaut.
Sheria inatungwa vipi wakati ni haki za binadamu? kutunga sheria ni kukiuka haki za binadam(standard ya ustaarabu tuliyowekewa)
#waafrika unafiki hautatuacha salama kukaa kimya ni kukubaliana nayo.