Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Hii channel ipigwe ban nchiniSahau Tozo, sahau machinga, sahau COVID-19View attachment 1972273Hatari mpya inayowakabili watoto na wajukuu wetu ni Superman mpya ambaye ni shoga.
Ushaur;
Serikali yetu ingetunga Sheria mathubuti za kuzuia vikaragosi hivyo visionyeshwe wala kufanya mijadala kama hiyo.
Maana wazung wanaweza sema ni haki ila ni kwao si tatizo kama ilivyo bangi na mihadaratI kwenye baadhi ya mataifa duniani