HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Kwanza kaa ukijua kanisa katoliki limepita katika changamoto mbalimbali na nyingi kuliko unavyodhani,
Pili, kanisa haliwezi kubadili taratibu zake eti ili kuendana na usasa, never ever.
Tatu, kama umekwazwa hama kanisa, huko utakakokeenda hakutakuwa na changamoto maana hao si binadamu kama sisi.
Nne, hujui chochote juu ya kitubio ....so you better keep your ignorance to yourself.
 
Kama lengo lako ni kujifunza;

Padre anasimama kama shahidi/kuhani mimi muumini ninapokuwa pale ktk jicho la imani inanipasa nijenge taswira kwamba nipo mbele ya mtumishi wa Mungu asiye na shaka.rejea andiko la injili Yesu alipompa Mtume Petro mamlaka kwa kumwambia

”LOLOTE UTAKALOLIFUNGA DUNIANI NA MBINGUNI LITAKUWA LIMEFUNGWA NA LOLOTE UTAKALOLIFUNGUA DUNIANI NA MBINGUNI LITAKUWA LIMEFUNGULIWA"

Hapo ndipo penye msingi wa maungamo na hakuna wa kubadilisha hili andiko na ndiyo msingi wa Kanisa,kama Alfa wa kwanza Petro alitekeleza hilo nani leo wakubadilisha?
Kwamba MUNGU anaitaji usaidizi wa ushaidi toka kwa mwanadam!
 
Kwanza kaa ukijua kanisa katoliki limepita katika changamoto mbalimbali na nyingi kuliko unavyodhani,
Pili, kanisa haliwezi kubadili taratibu zake eti ili kuendana na usasa, never ever.
Tatu, kama umekwazwa hama kanisa, huko utakakokeenda hakutakuwa na changamoto maana hao si binadamu kama sisi.
Nne, hujui chochote juu ya kitubio ....so you better keep your ignorance to yourself.
Kwahyo mkuu kanisa halijawahi kubadilisha kuendana na usasa?
Hujasiki papa anataka kuruhusu ushoga?
Wewe hujui kuwa zamani mapadri walikuwa wanaoa?
 
Kwahyo mkuu kanisa halijawahi kubadilisha kuendana na usasa?
Hujasiki papa anataka kuruhusu ushoga?
Wewe hujui kuwa zamani mapadri walikuwa wanaoa?
We ni kiazi kweli, emu leta hyo article nikuoneshe ujinga wako uliipo
 
Kwahyo mkuu kanisa halijawahi kubadilisha kuendana na usasa?
Hujasiki papa anataka kuruhusu ushoga?
Wewe hujui kuwa zamani mapadri walikuwa wanaoa?
Kanisa la Rc limekuwa likibadilika kuendana na ukisasa
Mfano, baada ya kuonekana wengi wanahama kanisa kutikana la namna ya maombi kuanzia ya shukrani mpaka ya toba...kanisa lilikubali ianzishwe huduma ya kufanana na walokole call them Protestants wakaiita KARISMATIKI. Hii imesaidia Sana to retain wahumini.
 
Huyu jamaa inaonekana hata hazijui harakati za kanisa lake.
And sadly 98% ya wakatoliki ndivo walivo.
 
Tatizo lako ni kudhani kiongozi wa dini ni mtakatifu kuzidi wewe. Kwamba mchungaji wako ni super human, hatendi dhambi.
Ukisoma waebrania 5:3 inaonyesha kuhani ni mtu dhaifu, ambaye kapewa neema ya kutolea matoleo ya dhambi zake na dhambi za wenzake. Huyo wa kwako mkamilifu mtafute makanisa yote hutampata.
Kwahiyo wewe bado unaungama dhambi zako kwa Padre. ?[emoji848][emoji856]
 
Sasa si bora hao ambao unaenda kumuambia Padri peke yake.. Leo kuna makanisa yanayokutaka ukatubu na kuungama dhambi zako mbele ya kanisa.. Na waumini wote wanakusikiliza na mwisho wanakuombea toba..😄😃😃😃
 
Kwahiyo wewe bado unaungama dhambi zako kwa Padre. ?[emoji848][emoji856]
Ndiyo, naungama kwa Padre. Kwa sababu naamini padre ni chombo cha kanisa, na kanisa ndo linaniondolea dhambi kupitia huduma lililokabidhiwa kulingana na Yn20:23.
 
Sasa si bora hao ambao unaenda kumuambia Padri peke yake.. Leo kuna makanisa yanayokutaka ukatubu na kuungama dhambi zako mbele ya kanisa.. Na waumini wote wanakusikiliza na mwisho wanakuombea toba..😄😃😃😃
Wanajifanya kupinga kuungama lakini wakipewa reference za maandiko wanajiona wao ndo wamepotoka, hivyo wanaamua kujitengenezea kanamna flani ka kujifariji. Kuna wengine wao ukitenda dhambi unabatizwa upya, ajabu wale viongozi huwa hawabatizwi batizwi, sijui wenyewe hawatendi dhambi?
 
Acha wewe na mibange yako, sie ni watiifu hadi mwisho!
kama umeacha wewe kwanini unataka na wengine wafuate uendawazimu wako?
 
Acha wewe na mibange yako, sie ni watiifu hadi mwisho!
kama umeacha wewe kwanini unataka na wengine wafuate uendawazimu wako?
Kuna tetesi Papa anafikiria kubariki ushoga ndani ya Kanisa Katoriki kama Kanisa la Anglikana.

Wewe unamshaurije Papa ?
 
ukeli ni kwamba hizi dini zimeletwa tu ndiomaana hata wenye akili wakati mwingine wanapingana nazo haiwezekani kuna baadhi ya vitu kwa akili tu ya kawaida unajua kabisa hapa tunapigwa mfano hiyo ya kwenda kumwambia binadamu mwenzako zambi zako, ile ya kukamua mavi baada ya mtu kufa , zote hizo zinafikirisha sana ukiwa na akili kubwa, mengine jipange mwenyewe na Mungu wako atakusaidia
 
Back
Top Bottom