Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hujui unachokiongea mkuu, tena usinitake niongee nitamwaga kila ushenzi unaofanyika kule utashikwa na aibu
Sijawananga mkuu, ila nashukuru kueleza ukweli kwamba wao pia ni watenda dhambi wakubwa lakini wanatuungamisha yaan mchafu anamsafisha mchafu kwa uchafu kisha wote wanaendelea kua wachafuWewe jamaa bana unamtisha nani bado hujakomaa kiimani tambua padre/watawa ni binadamu kama wewe wanaingia dhambini jiulize kabla ya kuwananga humu umewaombea mara ngapi
Unaonaje ukwaambia na Waislam waache kupeleka watoto wao Madrasa maana kuna waalimu wa madrasa wanaolawiti watoto.Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika.
Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu.
Kiapo cha Upadri kutunza siri za waumini kimepoteza mwelekeo, Mapadri wamekosa uaminifu mbele ya waumini na mbele ya jamii, imani na amani baina yao haipo tena. Muumini anazini, padri naye anazini nani wamkutubisha mwenzie.
Muumini ametoa mimba na Padri amebaka mtoto anayemfundisha komunio, nani akatubu kwa mwenzie?
Muumini anayetafuta msaada wa kuokoa ndoa yake kwa kumwambia Padri naona alivyokosea, Padri anatumia mwanya huo kuzini na mkewe
Sasa huu ndio wakati muafaka zaidi kwa kila mtu kwenda kutubu kwa Mungu wake ili kila mtu apambane na dhambi zake kwa muumba wake?
Mimi ni mkatoliki nina shida na hilo.Na sisi wakatoliki hatuna shida.
Hakuna dhambi ambayo itakua Ngumu kutubu, kwani Dhambi ni kuvunja kusudi Amri ya Mungu au kanisa.
Mfano ukisema nilizini Unadhani padre atakuuliza na nani?
Na sidhani kama wewe ni mkatoliki, ungekuwa Mkatoliki Ungeelewa kuwa sakrament ya kitubio iliwekwaje wekwaje.
We si mkatoliki......Mi
Mimi ni mkatoliki nina shida na hilo.
Mantiki ya kuungama mbele ya padri ni nini?
Nikisema na Mungu kwa habari ya toba pamoja na kuwaomba msamaha niliowakosea au kurudisha nilichoiba sitasamehewa?
Ushirika ushiriki na umisionari.Kila mtu aabudu mahali oanapompa amani ya moyo wake.
Kanisa la Kisinodi....
Acheni ujuaji kulichafua kanisa,Mi
Mimi ni mkatoliki nina shida na hilo.
Mantiki ya kuungama mbele ya padri ni nini?
Nikisema na Mungu kwa habari ya toba pamoja na kuwaomba msamaha niliowakosea au kurudisha nilichoiba sitasamehewa?
kwani kutubu ni kumuabudu binadamu tena[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]....ukiwa na philosophy, psychology, bible knowledge, na vingine itakusaidia sana kujudge hivi vitu..ila kama una engineering itakupa shida
Pole.Pentecostal and born again churches zinafanya Ukatoliki kua dini outdated vijana wengi na wanawake wamakamu wote wanahama Katoliki kuenda ulokole, hizo dini ni pingo kumbwa kwa uhafidhina wa katoliki in 50yrs Ukatoliki utapungua sana au utabadili jinsi ya kuendesha ibaada zao na kuacha baadhi ya misimamo yao.
Safi Kabisa.Huyu mtoa uzi anadhani Sakramenti ya Kitubio ni km Sera za Wanasiasa ambazo wanaweza kuendeleza au kuzibadilisha muda wowote.Na sisi wakatoliki hatuna shida.
Hakuna dhambi ambayo itakua Ngumu kutubu, kwani Dhambi ni kuvunja kusudi Amri ya Mungu au kanisa.
Mfano ukisema nilizini Unadhani padre atakuuliza na nani?
Na sidhani kama wewe ni mkatoliki, ungekuwa Mkatoliki Ungeelewa kuwa sakrament ya kitubio iliwekwaje wekwaje.
Samahani kwa ntakayoyasema hapa hii inanihusu na nasema ukweli
Nakumbuka kuna kipindi nilikua napenda sana masuala ya upadre hususani ubraza na yale maisha ya utawa vile mapadri wanavyoishi yaan nilikua napenda sana ilinivutia kuona wale mabraza jinsi wanavyovaa na kupendeza zile nguo zao za kimisionari.
Basi nikaenda kuomba kuanza kujifunza kusimamia kanisani pale mbele, enzi hizo nakumbuka nilikua mdogo sana nilikua km na miaka 7/8 hivi nilimwambia mzee mimi napenda sana kuhudumia kanisani mzee akakubari ila kipindi hicho mzee alikua busy sana kukaa nae mezani ilikua imezidi sana dakika 5 yeye ni mtu wa kazi na kazi na yeye muda wa kukaa na sisi labda wiki end.
Basi nikapeleka barua kwenye jumuiya kutoka kanisani ikaenda ikasainiwa na mwenyekiti safi nikarudisha kanisani nikaanza mafundisho ya kutumikia, I am telling you niliweza kuhudhulia wiki moja tu narudia tena nilihudhulia mafunzo ya kutumikia wiki moja tu baada ya hapo nilikaa pembeni mwenyewe yaani niliacha mwenyewe bila kulazimishwa na mtu.
Mzee aliponiona sihudhurii tena yale mafundisho akaanza kunihoji vipi mboni hauendi tena kujifunza kutumikia kanisani, umeacha? Nikamwambia mzee nimegairisha sitaki tena kusikia habari za kutumikia kanisani, kuanzia hapo nikaanza kuchukia zile habari za kutumikia na wale mabraza pamoja na wale wanaotumikia kanisani nikawa siwakubari tena km jinsi nilivyokua nawakubari pale mwanzo kabla sijajiunga na mafundisho ya kutumikia kanisani.
Niliona nini? Hio ni Siri yangu.
Wanafiki hamuishagi.Hii ni gia ya Wengi wanaouchukia Ukatoliki,stori kama hii au inayofanana na hii wewe ni kichwa cha ishirini,na nikijaribu kufutilia kiundani huwa nakuta Si Kweli bali ni Propaganda chafu ili kuchafua Kanisa Katoliki.Samahani kwa ntakayoyasema hapa hii inanihusu na nasema ukweli
Nakumbuka kuna kipindi nilikua napenda sana masuala ya upadre hususani ubraza na yale maisha ya utawa vile mapadri wanavyoishi yaan nilikua napenda sana ilinivutia kuona wale mabraza jinsi wanavyovaa na kupendeza zile nguo zao za kimisionari.
Basi nikaenda kuomba kuanza kujifunza kusimamia kanisani pale mbele, enzi hizo nakumbuka nilikua mdogo sana nilikua km na miaka 7/8 hivi nilimwambia mzee mimi napenda sana kuhudumia kanisani mzee akakubari ila kipindi hicho mzee alikua busy sana kukaa nae mezani ilikua imezidi sana dakika 5 yeye ni mtu wa kazi na kazi na yeye muda wa kukaa na sisi labda wiki end.
Basi nikapeleka barua kwenye jumuiya kutoka kanisani ikaenda ikasainiwa na mwenyekiti safi nikarudisha kanisani nikaanza mafundisho ya kutumikia, I am telling you niliweza kuhudhulia wiki moja tu narudia tena nilihudhulia mafunzo ya kutumikia wiki moja tu baada ya hapo nilikaa pembeni mwenyewe yaani niliacha mwenyewe bila kulazimishwa na mtu.
Mzee aliponiona sihudhurii tena yale mafundisho akaanza kunihoji vipi mboni hauendi tena kujifunza kutumikia kanisani, umeacha? Nikamwambia mzee nimegairisha sitaki tena kusikia habari za kutumikia kanisani, kuanzia hapo nikaanza kuchukia zile habari za kutumikia na wale mabraza pamoja na wale wanaotumikia kanisani nikawa siwakubari tena km jinsi nilivyokua nawakubari pale mwanzo kabla sijajiunga na mafundisho ya kutumikia kanisani.
Niliona nini? Hio ni Siri yangu.
Umeona eenhh?!.Yaani kosa la mtu fulani lisababishe Kanisa kufa,Kweli?!!.Kanisa Katoliki kufa ni ndoto za mchana.
Makanisa mengi yalikuja na kuondoka, lakini lenyewe mpaka leo karne na karne lipo.
Hata Paulo na Petro mifupa yao iliyolala pale Vatican ukiwaambia kanisa la Roma litakufa watakushangaa.
Very vingine tuwe tu realistic.