HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Kwanza kaa ukijua kanisa katoliki limepita katika changamoto mbalimbali na nyingi kuliko unavyodhani,
Pili, kanisa haliwezi kubadili taratibu zake eti ili kuendana na usasa, never ever.
Tatu, kama umekwazwa hama kanisa, huko utakakokeenda hakutakuwa na changamoto maana hao si binadamu kama sisi.
Nne, hujui chochote juu ya kitubio ....so you better keep your ignorance to yourself.
 
Kwamba MUNGU anaitaji usaidizi wa ushaidi toka kwa mwanadam!
 
Kwahyo mkuu kanisa halijawahi kubadilisha kuendana na usasa?
Hujasiki papa anataka kuruhusu ushoga?
Wewe hujui kuwa zamani mapadri walikuwa wanaoa?
 
Kwahyo mkuu kanisa halijawahi kubadilisha kuendana na usasa?
Hujasiki papa anataka kuruhusu ushoga?
Wewe hujui kuwa zamani mapadri walikuwa wanaoa?
We ni kiazi kweli, emu leta hyo article nikuoneshe ujinga wako uliipo
 
Kwahyo mkuu kanisa halijawahi kubadilisha kuendana na usasa?
Hujasiki papa anataka kuruhusu ushoga?
Wewe hujui kuwa zamani mapadri walikuwa wanaoa?
Kanisa la Rc limekuwa likibadilika kuendana na ukisasa
Mfano, baada ya kuonekana wengi wanahama kanisa kutikana la namna ya maombi kuanzia ya shukrani mpaka ya toba...kanisa lilikubali ianzishwe huduma ya kufanana na walokole call them Protestants wakaiita KARISMATIKI. Hii imesaidia Sana to retain wahumini.
 
Huyu jamaa inaonekana hata hazijui harakati za kanisa lake.
And sadly 98% ya wakatoliki ndivo walivo.
 
Kwahiyo wewe bado unaungama dhambi zako kwa Padre. ?[emoji848][emoji856]
 
Sasa si bora hao ambao unaenda kumuambia Padri peke yake.. Leo kuna makanisa yanayokutaka ukatubu na kuungama dhambi zako mbele ya kanisa.. Na waumini wote wanakusikiliza na mwisho wanakuombea toba..πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwahiyo wewe bado unaungama dhambi zako kwa Padre. ?[emoji848][emoji856]
Ndiyo, naungama kwa Padre. Kwa sababu naamini padre ni chombo cha kanisa, na kanisa ndo linaniondolea dhambi kupitia huduma lililokabidhiwa kulingana na Yn20:23.
 
Sasa si bora hao ambao unaenda kumuambia Padri peke yake.. Leo kuna makanisa yanayokutaka ukatubu na kuungama dhambi zako mbele ya kanisa.. Na waumini wote wanakusikiliza na mwisho wanakuombea toba..πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wanajifanya kupinga kuungama lakini wakipewa reference za maandiko wanajiona wao ndo wamepotoka, hivyo wanaamua kujitengenezea kanamna flani ka kujifariji. Kuna wengine wao ukitenda dhambi unabatizwa upya, ajabu wale viongozi huwa hawabatizwi batizwi, sijui wenyewe hawatendi dhambi?
 
Acha wewe na mibange yako, sie ni watiifu hadi mwisho!
kama umeacha wewe kwanini unataka na wengine wafuate uendawazimu wako?
 
Acha wewe na mibange yako, sie ni watiifu hadi mwisho!
kama umeacha wewe kwanini unataka na wengine wafuate uendawazimu wako?
Kuna tetesi Papa anafikiria kubariki ushoga ndani ya Kanisa Katoriki kama Kanisa la Anglikana.

Wewe unamshaurije Papa ?
 
ukeli ni kwamba hizi dini zimeletwa tu ndiomaana hata wenye akili wakati mwingine wanapingana nazo haiwezekani kuna baadhi ya vitu kwa akili tu ya kawaida unajua kabisa hapa tunapigwa mfano hiyo ya kwenda kumwambia binadamu mwenzako zambi zako, ile ya kukamua mavi baada ya mtu kufa , zote hizo zinafikirisha sana ukiwa na akili kubwa, mengine jipange mwenyewe na Mungu wako atakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…