Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
Sema ukweli, walikufanya nini au uliona nini?Niliona nini? Hio ni Siri yangu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema ukweli, walikufanya nini au uliona nini?Niliona nini? Hio ni Siri yangu..
Sawa mkuu acha niseme,Niliona nini? Hio ni Siri yangu..
Mpaka hapa chochote utakachokiandika ukiwa umebanwa na watu utakuwa umejitungia ilibidi useme straight uliona nini na nini toka mwanzo na hapa sote hatujulikani tunatumia fake IDs ni nani angekujua?
Kama lengo lako ni kujifunza;Kwahyo wakuu mkishamuambia padri yeye ndo anaenda kumwambia mungu au?
Ukimuambia Padre.. Yeye kwa Mamlaka aliyo nayo.. Anakuondolea hiyo dhambi.. Papo hapo na anakupa "adhabu" kwa jina la malipizi ili iondoke kabisa.Kwahyo wakuu mkishamuambia padri yeye ndo anaenda kumwambia mungu au?
Urudi mkuu mm nimesha subsrible huu uzi.Sawa mkuu acha niseme,
Kwanza kwenye kusimamia kuna levels kwa jinsi nilivyokua nmeona kipindi kile sijui siku hizi, kulikua na madaraja yaan mnapangwa umri mpaka umri, kulikua na watoto kabisa ambamo mimi nilikuemo alafu walifuata wakubwa wa kati kisha wakubwa wengine
Tufanye hivi miaka 5-12 group A, miaka 13-17 group B na miaka 18-25 na kuendelea group C
Sasa mimi nilikua mdogo kwenye group A, basi kukawa na mafundisho kila Jumapili Jioni kwa hio nikawa naenda, ki ufupi nilikua napenda sana ila hali ilikua tofauti since day 1
Nilipofika hio siku tulitembelewa na wale mabraza, wakatusalimia aisee ni wanyenyekevu mno na walikua sio wakali wakawa wametuletea zawadi ya mikungu ya ndizi,
Basi siku hio baada ya mafunzo ya namna ya kutumikia kuna kazi za kufanya km kufagia maeneo na kwenda kuhamisha masanduku ya sadaka pomoja na vipaji kutoka kwenye ofisi ya mapadri na makatekista kupeleka kwenye nyumba ya mapadri, sasa balaa ndio lilianzia hapa
Nakuja kuimalizia.. ngoja niweke nukta kwanza
Hunishawishi!!!Sawa mkuu acha niseme,

SahauPentecostal and born again churches zinafanya ukatoliki kua dini outdated vijana wengi na wanawake wamakamu wote wanahama katoliki kuenda ulokole, hizo dini ni pingo kumbwa kwa uhafidhina wa katoliki in 50yrs ukatoliki utapungua sana au utabadili jinsi ya kuendesha ibaada zao na kuacha baadhi ya misimamo yao.
Sawa mkuu,Hunishawishi!!!
Ukinisoma vizuri pale juu nimekutaka kwamba chochote utakachotaka kusema baada ya post yako ya kwanza pale juu kitakuwa hakina ladha kama ungeanza moja kwa moja kukieleza siyo useme baada ya sisi wajumbe kukubana.
Tutajuaje kama unatunga uwongo?
Huyo ni ATTENTION SEEKER usijisumbue ukadhani atasema kitu cha maana vyote vitakuwa ni vya kutunga tu hakuwa na sababu ya kuandika alichoandika pale juu angeenda straight kwenye anachohadithia hapa ila yeye ameamsha ari za member hapa kisha anakuja na vipande vipande.
Hivi padre yeye hana dhambi? Ana tubu wapi? Au ana tubu online?Wakatoliki unaweza ukawaponda weweeeee tukabaki tunakuangalia
Hatunaga shida na mtu.
Siwezi nikajiita mlokole halafu baadaye nakunywa pombe kwa kujificha.
Tumsifu Yesu Kristo
Kuna Jamaa anasema mimi nasema uwongo hataki niseme, kwa hio acha nisiendelee tu maana isije ikawa kuna watu wanakwazika kwa nitakachokielezea itakua sio vizuri acha nibaki nayo tu mkuu
Wewe hujui unachokiongea mkuu, tena usinitake niongee nitamwaga kila ushenzi unaofanyika kule utashikwa na aibuHuyo ni ATTENTION SEEKER usijisumbue ukadhani atasema kitu cha maana vyote vitakuwa ni vya kutunga tu hakuwa na sababu ya kuandika alichoandika pale juu angeenda straight kwenye anachohadithia hapa ila yeye ameamsha ari za member hapa kisha anakuja na vipande vipande.
Mimi nimepitia stage alizosema hapo tofauti yangu mimi sikuwa na hamu ya kusogea mbele zaidi ni ile hulka ya utoto kutaka kujaribu kila kitu.
Bora ufunguke watoto wetu waponeSio story mkuu ni maelezo tu
Mimi ni mkatoliki niliyeacha kuungana mda mrefu sanaZama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika.
Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu.
Kiapo cha Upadri kutunza siri za waumini kimepoteza mwelekeo, Mapadri wamekosa uaminifu mbele ya waumini na mbele ya jamii, imani na amani baina yao haipo tena. Muumini anazini, padri naye anazini nani wamkutubisha mwenzie.
Muumini ametoa mimba na Padri amebaka mtoto anayemfundisha komunio, nani akatubu kwa mwenzie?
Muumini anayetafuta msaada wa kuokoa ndoa yake kwa kumwambia Padri naona alivyokosea, Padri anatumia mwanya huo kuzini na mkewe
Sasa huu ndio wakati muafaka zaidi kwa kila mtu kwenda kutubu kwa Mungu wake ili kila mtu apambane na dhambi zake kwa muumba wake?
Tubu fanya Sakramenti ya kitubio pokea ekaristi takatifu hudhuria misa na uache dhambi.Mimi ni mkatoliki niliyeacha kuungana mda mrefu sana
Mkuu kwani una tatizo gan? Km unaona anatunga uongo na wewe basi tunga uongo wako kisha uweke humu kuna mtu atakuzuia au unamuona anafaidi akielezea kilichomkuta? Bladfoken na wewe tunga story yako km unafikiri kutunga ni rahisiHunishawishi!!!
Ukinisoma vizuri pale juu nimekutaka kwamba chochote utakachotaka kusema baada ya post yako ya kwanza pale juu kitakuwa hakina ladha kama ungeanza moja kwa moja kukieleza siyo useme baada ya sisi wajumbe kukubana.
Tutajuaje kama unatunga uwongo?
Hakuna binadamu asiyekuwa na dhambi na kila taasisi imejiwekea utaratibu wake jinsi ya ku-deal na hayo mambo.Hivi padre yeye hana dhambi? Ana tubu wapi? Au ana tubu online?
Niwe najua au sijui ninachokiongea nasimamia hoja yangu vyote utakavyoandika au unavyoandika baada ya post yako ya mwanzo ni vya kusadikika tu,kulikuwa na sababu gani ya kuandika gazette reefu usiainishe japo sentence mbili ili kuondoa shaka kwa tunaokusoma.Wewe hujui unachokiongea mkuu, tena usinitake niongee nitamwaga kila ushenzi unaofanyika kule utashikwa na aibu