HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Usinichanganyie mada,

Wewe umemkatalia mwenzako asielezee kisa chake kwa madai kwamba anasema uongo au sio wewe? ila sasa hivi unajikanyaga kanyaga unaingia huku unatokea huku mara padri binadamu mara mzazi kabaka, sasa ikawaje umpinge mwenzio kua anasema uongo au wewe ndio mkweli sana umekamilika sana wewe ndio mtimilifu zaidi na kila wanachosema wengine unaona ni cha kutunga tu hakina ukweli au hadi kiwe published kwenye magazeti ya Mwananchi ndio uone kina ukweli?
Bado sijafikia point ya kuu-doubt uelewa wako nahisi nipo bado ktk nafasi nzuri ya kukuelewesha.

Sikusema yupo sahihi au hayupo sahihi nilimwambia kwanini alichoki-post ktk post yake ya kwanza kwenye huu uzi hakuandika anachohisi alikiona kibaya ili kiwe msingi wa hoja yake?akaja na story za kuandika kidogo kisha kuanza kusema nitarudi kama wafanyavyo waandika hadithi wa humu yaani alichokishuhudia akiwa aged 7/8 leo aandike post #1 to #5 kama siyo uwongo nini?

HATARI: Zama za wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati msingi wa hoja zangu upo ktk post hii nikimjibu post yake hii HATARI: Zama za wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Unionyeshe wewe nilipotetea huu ujinga maana sikumbuki kufanya hivyo.
 
Tangulia milembe ewe tahira. Nionyeshe ni wapi nimesema paul alikuwa mwanafunz wa YESU? mbona nimeandka kwa kueleweka kbs kwamba mtume paul na petro mwanafunz wa YESU umeona kuna uwingi wa wanafunzi hapo au mihemko ya upagan wa rumi imekuvuruga muabudu masanamu. Lete ushahidi hapa wa paul na petro kuzkwa vitcan hapa tuone maana huwa mnadanganywa eti hao walikuwa mapapa wa roma ktu ambacho si kweli mpk paul na mitume wa YESU Wanakufa hakukuwa na takataka iitwayo kanisa katoliki kama lingekuwepo wkt wao bs kwny zle nyaraka za paul lingeandkwa kbs kanisa katoliki. Au walipoandka kanisa bs mapadri wenu wanawadanganya ni kanisa katoliki? Zezeta la karne wewe.
Paul na Petro wamezikwa wapi?

Na wapi nilisema Paul na Peter walikuwa wakatoliki?

Usizunguke kama umekalia karoti.
 
Ok, Ok, Ok..!!! TUACHIE UKATOLIKI WETU..!! Nyie wekeni zama mpya huko kwenye imani yenu. Hivi hamfiki mbinguni/firdausi mpaka muwashambulie wakatoliki?
Achana na hao watu mkuu,kila mtu asimame ktk njia anayoona yeye inamfaa hawa watakuchosha akili tu.
 
Sitaki kuwakwadha watu mkuu, acha nibaki nayo tu
Ndiyo unazidi kuwapa watu hofu wewe kama ulishaamua kuandika andika!!!

Hapa ndo na mimi nathibitisha nilichosema kwamba umejitungia maana umejua ukiandika utazidi kubanwa na wanaojua yanayofanyika Sakristia.

Kwani ulikuwa unapata faida gani kuandika ambayo huyajui just kupata likes kutoka kwa watu ambao wala wasingekusaidia japo hata chupa ya maji???
 
Ndiyo unazidi kuwapa watu hofu wewe kama ulishaamua kuandika andika!!!
Wewe ndie ulieniambia niandike nikaanza kuandika alafu baadae wewe wewe ndie uliekuja kunizuia nisiandike kwa madai kwamba naandika uongo, we mtu una akili kweli au una matatizo ya akili?

Emu niache soon utaingia kwenye ignore list
 
Paul na Petro wamezikwa wapi?

Na wapi nilisema Paul na Peter walikuwa wakatoliki?

Usizunguke kama umekalia karoti.
Paul na Petro wamezikwa wapi?

Na wapi nilisema Paul na Peter walikuwa wakatoliki?

Usizunguke kama umekalia karoti.

jibu ni kwamba huko kwny dhehebu lenu la kipagani ndiko mnakodanganyana kwmb petro na paul walikuwa wakatoliki ndo maana hapa unakurupuka eti walizkwa vatcan na vatcan ndko aliko mpinga KRISTO papa si huwa mnafundshana papa wa kwanza alikuwa petro wkt si kweli. Kukalia karoti? Huko kwenu ndo viti vyenu eeh bs utambue si wote tuna utamadun huo.
 
Wasabato ni wataalamu wa dawa za mitishamba, mambo ya imani mtawaonea.
Ninae kaka yangu mmoja akianza kukwambia hiyo mbingu yao ya kufikirika huwa namwangalia kisha namwambia "Bro,sema umefata nini tumalizane uwahi" maana once mtu akishaingia humo anakuwa narrow minded kiasi vitu seriously anachukulia juu juu tu.

Hata uwezo wa kufikiri hushuka.
 
jibu ni kwamba huko kwny dhehebu lenu la kipagani ndiko mnakodanganyana kwmb petro na paul walikuwa wakatoliki ndo maana hapa unakurupuka eti walizkwa vatcan na vatcan ndko aliko mpinga KRISTO papa si huwa mnafundshana papa wa kwanza alikuwa petro wkt si kweli. Kukalia karoti? Huko kwenu ndo viti vyenu eeh bs utambue si wote tuna utamadun huo.
Ndo maana nimekwambia be specific, lakini bado unaandika kama mkalia magunia ya karoti.

Alafu mbona unaandika maneno mengi kama jinsi B.

Jinsi A huwa direct to the point.

Unaandika mlolongo wa pumba hata kuweka paragraph na vituo hujui, huko shule ulienda kuuza maandazi?

Peter na Paul walizikwa wapi? Na citation plz.


*Lakini wakati unajibu ukumbuke kwamba huna akili.
 
Wewe ndie ulieniambia niandike nikaanza kuandika alafu baadae wewe wewe ndie uliekuja kunizuia nisiandike kwa madai kwamba naandika uongo, we mtu una akili kweli au una matatizo ya akili?

Emu niache soon utaingia kwenye ignore list
Sikukwambia usiandike nikuzuie kuandika namiliki server za JF mimi?

Nilichokwambia ni nilihisi ulichokuwa uandike baada ya post yako ya kwanza kingekuwa cha kutunga.wewe maliza gazette lako ukalale maana umewaamsha watu ari ya kusikia uchafu wa Catholic kisha unajitenga pembeni.

Hiyo paragraph ya mwisho,unanijua au tunajuana kiasi iwe kuingia kwenye ignore list yako ni issue sana kwangu?
 
Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika.

Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu.

Kiapo cha Upadri kutunza siri za waumini kimepoteza mwelekeo, Mapadri wamekosa uaminifu mbele ya waumini na mbele ya jamii, imani na amani baina yao haipo tena. Muumini anazini, padri naye anazini nani wamkutubisha mwenzie.

Muumini ametoa mimba na Padri amebaka mtoto anayemfundisha komunio, nani akatubu kwa mwenzie?

Muumini anayetafuta msaada wa kuokoa ndoa yake kwa kumwambia Padri naona alivyokosea, Padri anatumia mwanya huo kuzini na mkewe

Sasa huu ndio wakati muafaka zaidi kwa kila mtu kwenda kutubu kwa Mungu wake ili kila mtu apambane na dhambi zake kwa muumba wake?
Siku zote mpango wa mwanadamu hufeli.
Yesu alishaondoa huo utaratibu wa kutubu kwa mwanadamu isipokuwa kwa Mungu pekee.
 
Sikukwambia usiandike nikuzuie kuandika namiliki server za JF mimi?

Nilichokwambia ni nilihisi ulichokuwa uandike baada ya post yako ya kwanza kingekuwa cha kutunga.wewe maliza gazette lako ukalale maana umewaamsha watu ari ya kusikia uchafu wa Catholic kisha unajitenga pembeni.

Hiyo paragraph ya mwisho,unanijua au tunajuana kiasi iwe kuingia kwenye ignore list yako ni issue sana kwangu?
Wewe ulishazuia nisiandike natunga uongo sasa unaniambiaje niendelee, mkuu unajua unachokiandika lakini au unaandika ili uonekane na wewe umeandika?
 
Siku zote mpango wa mwanadamu hufeli.
Yesu alishaondoa huo utaratibu wa kutubu kwa mwanadamu isipokuwa kwa Mungu pekee.
Kaka Glenn,

Swala la imani ni swala pana sana.

Mfano. Wayahudi bado wanaamini katika torati, na hawakubali hata kidogo kwamba YESU alishakuja.

Ila wanaamini YESU atakuja.

Kwa msingi huo, hawaamini kabisa agano jipya, katakata.

Na ukumbuke huko ndo chimbuko la imani.
 
Kama lengo lako ni kujifunza;

Padre anasimama kama shahidi/kuhani mimi muumini ninapokuwa pale ktk jicho la imani inanipasa nijenge taswira kwamba nipo mbele ya mtumishi wa Mungu asiye na shaka.rejea andiko la injili Yesu alipompa Mtume Petro mamlaka kwa kumwambia

”LOLOTE UTAKALOLIFUNGA DUNIANI NA MBINGUNI LITAKUWA LIMEFUNGWA NA LOLOTE UTAKALOLIFUNGUA DUNIANI NA MBINGUNI LITAKUWA LIMEFUNGULIWA"


Hapo ndipo penye msingi wa maungamo na hakuna wa kubadilisha hili andiko na ndiyo msingi wa Kanisa,kama Alfa wa kwanza Petro alitekeleza hilo nani leo wakubadilisha?
Sawa, kwahyo anayesamehe dhambi ni Mungu au padri?
 
Kanisa Katoliki kufa ni ndoto za mchana.

Makanisa mengi yalikuja na kuondoka, lakini lenyewe mpaka leo karne na karne lipo.

Hata Paulo na Petro mifupa yao iliyolala pale Vatican ukiwaambia kanisa la Roma litakufa watakushangaa.

Very vingine tuwe tu realistic.
Kanisani katoliki for life
 
Kesi ya Padre mmoja au wachache haibadili ukatoliki
Kwa sasa Kesi za uchafu wa mapadri ni nyingi mnoo na ziko dunia nzima. Tuseme ukweli tu, mapadri wengi wa kizazi hiki hawajatulia. Kuna wazinzi, walevi, wafiraji, wabakaji, mafisadi mpaka wauaji. Kwangu mimi hilo sio la ajabu kwa sababu, mapadri ni watu sawa sawa na watu wengine, ni waumini kama maumini wengi, hivyo uchafu unaofanywa na watu wengine au waumini wengine unaweza kufanywa vile vile na Padri kwa kiwango kile kile au zaidi. Tatizo liko pale ambapo muumini anapolazimika kutubu dhambi zake mbele ya Padri ambaye naye ni mchafu. Hii unaiona ni sahihi?
 
Back
Top Bottom