HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

HATARI: Zama za Wakatoliki kuendelea kutubu mbele ya Padri zimepitwa na wakati

Samahani kwa ntakayoyasema hapa hii inanihusu na nasema ukweli

Nakumbuka kuna kipindi nilikua napenda sana masuala ya upadre hususani ubraza na yale maisha ya utawa vile mapadri wanavyoishi yaan nilikua napenda sana ilinivutia kuona wale mabraza jinsi wanavyovaa na kupendeza zile nguo zao za kimisionari

Basi nikaenda kuomba kuanza kujifunza kusimamia kanisani pale mbele, enzi hizo nakumbuka nilikua mdogo sana nilikua km na miaka 7/8 hivi nilimwambia mzee mimi napenda sana kuhudumia kanisani mzee akakubari ila kipindi hicho mzee alikua busy sana kukaa nae mezani ilikua imezidi sana dakika 5 yeye ni mtu wa kazi na kazi na yeye muda wa kukaa na sisi labda wiki end

Basi nikapeleka barua kwenye jumuiya kutoka kanisani ikaenda ikasainiwa na mwenyekiti safi nikarudisha kanisani nikaanza mafundisho ya kutumikia, I am telling you niliweza kuhudhulia wiki moja tu narudia tena nilihudhulia mafunzo ya kutumikia wiki moja tu baada ya hapo nilikaa pembeni mwenyewe yaani niliacha mwenyewe bila kulazimishwa na mtu

Mzee aliponiona sihudhurii tena yale mafundisho akaanza kunihoji vipi mboni hauendi tena kujifunza kutumikia kanisani, umeacha? Nikamwambia mzee nimegairisha sitaki tena kusikia habari za kutumikia kanisani, kuanzia hapo nikaanza kuchukia zile habari za kutumikia na wale mabraza pamoja na wale wanaotumikia kanisani nikawa siwakubari tena km jinsi nilivyokua nawakubari pale mwanzo kabla sijajiunga na mafundisho ya kutumikia kanisani

Niliona nini? Hio ni Siri yangu..
Bila shaka ulishikishwa ukuta kijana na ukaamua kukaa kimya ukiogopa kusema
 
Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika.

Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu.

Kiapo cha Upadri kutunza siri za waumini kimepoteza mwelekeo, Mapadri wamekosa uaminifu mbele ya waumini na mbele ya jamii, imani na amani baina yao haipo tena. Muumini anazini, padri naye anazini nani wamkutubisha mwenzie.

Muumini ametoa mimba na Padri amebaka mtoto anayemfundisha komunio, nani akatubu kwa mwenzie?

Muumini anayetafuta msaada wa kuokoa ndoa yake kwa kumwambia Padri naona alivyokosea, Padri anatumia mwanya huo kuzini na mkewe

Sasa huu ndio wakati muafaka zaidi kwa kila mtu kwenda kutubu kwa Mungu wake ili kila mtu apambane na dhambi zake kwa muumba wake?
Ok, Ok, Ok..!!! TUACHIE UKATOLIKI WETU..!! Nyie wekeni zama mpya huko kwenye imani yenu. Hivi hamfiki mbinguni/firdausi mpaka muwashambulie wakatoliki?
 
Pentecostal and born again churches zinafanya ukatoliki kua dini outdated vijana wengi na wanawake wamakamu wote wanahama katoliki kuenda ulokole, hizo dini ni pingo kumbwa kwa uhafidhina wa katoliki in 50yrs ukatoliki utapungua sana au utabadili jinsi ya kuendesha ibaada zao na kuacha baadhi ya misimamo yao.
What? Wazinifu, matapeli na kila aina ya watu wachafu wamehamia kwa walokole sasa hivi. Hakufai. Mkanisa ya walokole ukikaa vibaya ni rahisi sana kutapeliwa au kunyang'anywa mwenza wako.
 
Kuna Imani... Na Kuna kosa la Mtu kama Mtu.
Na Hili linatokea karibia kwenye Imani Zote..!
Sasa kwa Maana hiyo huu Uzi ulitakiwa Uwe umefutwa kitambo.
 
Mkuu kwani una tatizo gan? Km unaona anatunga uongo na wewe basi tunga uongo wako kisha uweke humu kuna mtu atakuzuia au unamuona anafaidi akielezea kilichomkuta? Bladfoken na wewe tunga story yako km unafikiri kutunga ni rahisi

Moderator usinipige ban
Sina tatizo tatizo sipo tayari kuona mtu akijaribu kufanya kitu kionekane kina shaka kubwa kwa story za kutunga(hata kama kina shaka kuwe na points zakuonyesha wapi penye tatizo),kosa moja hali-justify kosa jengine kwamba nijitungie na mimi uwongo ni post hapa....

Then what....nitalipwa?siku-report uogope kupigwa BAN humu mitandaoni tunapishana akili may be umekuzwa mazingira ya matusi hovyo nani anayejua?
 
Kanisa Katoliki kufa ni ndoto za mchana.

Makanisa mengi yalikuja na kuondoka, lakini lenyewe mpaka leo karne na karne lipo.

Hata Paulo na Petro mifupa yao iliyolala pale Vatican ukiwaambia kanisa la Roma litakufa watakushangaa.

Very vingine tuwe tu realistic.
kwamba mtume paul na petro mwanafunz wa YESU walikuwa wakatoliki au siyo? Sjui huu ujinga n nani aliwadanganya aisee yaani dhehebu la katoliki mnataka kudanganya watu lilianzshwa na paul na petro? Na wamezkwa vatcan aaahaaha daaah kaz ipo aisee. Warumi hawa hawa akina pilato waasisi wa dhehebu hlo leo ndo useme akna paulo na petro ni waanzlish mpk wamefia hapo vatcan kwmb nao walikuwa mapapa au? Aaahaahaaaa ndo walioleta skukuu za kpagan kama easter na krismas eeh.
 
Niwe najua au sijui ninachokiongea nasimamia hoja yangu vyote utakavyoandika au unavyoandika baada ya post yako ya mwanzo ni vya kusadikika tu,kulikuwa na sababu gani ya kuandika gazette reefu usiainishe japo sentence mbili ili kuondoa shaka kwa tunaokusoma.

NB;sikatai kuna matatizo kwenye kila taasisi ila ninachokikataa mimi ni mtu kutaka kuzusha hofu pasipo na sababu.
Mkuu mimi nimekuelewa,nilichoghafirika kisa kinanihusu mimi na ni kisa cha kweli na ndio maana mwanzo nilisema kinanihusu na nasema ukweli alafu wewe unasema natunga uongo una uhakika km natunga uongo?

Wewe ulitakiwa unisikilize kwanza maelezo yangu baada ya maelezo yangu ndio mwisho uje utoe comment yako iwe negative au positive lakini sio kabla sijamaliza unanikandamiza na kusema nasema uongo ulikuepo?
 
Bila shaka ulishikishwa ukuta kijana na ukaamua kukaa kimya ukiogopa kusema
Wewe nawe haujui unachokiandika sio kila anaeandika masaibu ya kikatoriki amefanyiwa huo ufirauni mkuu acha kua na hio mentality,
 
Sina tatizo tatizo sipo tayari kuona mtu akijaribu kufanya kitu kionekane kina shaka kubwa kwa story za kutunga(hata kama kina shaka kuwe na points zakuonyesha wapi penye tatizo),kosa moja hali-justify kosa jengine kwamba nijitungie na mimi uwongo ni post hapa....

Then what....nitalipwa?siku-report uogope kupigwa BAN humu mitandaoni tunapishana akili may be umekuzwa mazingira ya matusi hovyo nani anayejua?
Umeeleweka

Case closed baki na kile unachokiamini, asubuhi nimesoma habari inasema padri abaka mtoto alieenda kuungama kanisani, aibu eeenhe aibu sana au?

Na hio sema imetungwa ni uongo alafu magazeti na vyombo vya habari vikuzomeee
 
kwamba mtume paul na petro mwanafunz wa YESU walikuwa wakatoliki au siyo? Sjui huu ujinga n nani aliwadanganya aisee yaani dhehebu la katoliki mnataka kudanganya watu lilianzshwa na paul na petro? Na wamezkwa vatcan aaahaaha daaah kaz ipo aisee. Warumi hawa hawa akina pilato waasisi wa dhehebu hlo leo ndo useme akna paulo na petro ni waanzlish mpk wamefia hapo vatcan kwmb nao walikuwa mapapa au? Aaahaahaaaa ndo walioleta skukuu za kpagan kama easter na krismas
Peter na Paul masalia yao yalizikwa wapi? Ujuaji mwingi ingali umejaza ujinga kichwani.

Paul alikuwa mwanafunzi wa YESU? kama jambo dogo kabisa kama hili linakushinda, hayo mengine utawezaje kuyajengea hoja.
 
Umeeleweka

Case closed baki na kile unachokiamini, asubuhi nimesoma habari inasema padri abaka mtoto alieenda kuungama kanisani, aibu eeenhe aibu sana au?

Na hio sema imetungwa ni uongo alafu magazeti na vyombo vya habari vikuzomeee
Huyo ni binadamu kama mimi na wewe,ana madhaifu yake sometimes hata kukushinda wewe so kuwa kwake Padre hakumfanyi asitende dhambi kama asiyekuwa Padre the issue is

Hapo chini nakuwekea link mzazi amembaka mtoto wake tena kutoka kwenye kiuno chake sembuse huyo asiyejua hata anayemfanyia hivyo ataathirika vipi kihisia?

https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/jela-miaka-30-kwa-kumbaka-kumlawiti-mtoto-wake-3899092
 
Mkuu mimi nimekuelewa,nilichoghafirika kisa kinanihusu mimi na ni kisa cha kweli na ndio maana mwanzo nilisema kinanihusu na nasema ukweli alafu wewe unasema natunga uongo una uhakika km natunga uongo?

Wewe ulitakiwa unisikilize kwanza maelezo yangu baada ya maelezo yangu ndio mwisho uje utoe comment yako iwe negative au positive lakini sio kabla sijamaliza unanikandamiza na kusema nasema uongo ulikuepo?
Ok mkuu tuishi humo,nimekuelewa japo kwa kujilazimisha sana.
 
Kanisa lolote au msikiti linapokosa taratibu na miiko yake linakuwa halina tofauti na kikundi cha wanaojiuza usiku, manake wao terms zinatengenezwa hapo hapo.

Hizi nguvu za makanisa mengine kupambana na Roma zingeelekezwa kupambana na Shetani hakika pengine Mwovu angekuwa ameshatoweka, na sasa ni historia.
Umemaliza kila kitu
 
Hapo chini nakuwekea link mzazi amembaka mtoto wake tena kutoka kwenye kiuno chake sembuse huyo asiyejua hata anayemfanyia hivyo ataathirika vipi kihisia?
Usinichanganyie mada,

Wewe umemkatalia mwenzako asielezee kisa chake kwa madai kwamba anasema uongo au sio wewe? ila sasa hivi unajikanyaga kanyaga unaingia huku unatokea huku mara padri binadamu mara mzazi kabaka, sasa ikawaje umpinge mwenzio kua anasema uongo au wewe ndio mkweli sana umekamilika sana wewe ndio mtimilifu zaidi na kila wanachosema wengine unaona ni cha kutunga tu hakina ukweli au hadi kiwe published kwenye magazeti ya Mwananchi ndio uone kina ukweli?
 
Peter na Paul masalia yao yalizikwa wapi? Ujuaji mwingi ingali umejaza ujinga kichwani.

Paul alikuwa mwanafunzi wa YESU? kama jambo dogo kabisa kama hili linakushinda, hayo mengine utawezaje kuyajengea hoja.
Tangulia milembe ewe tahira. Nionyeshe ni wapi nimesema paul alikuwa mwanafunz wa YESU? mbona nimeandka kwa kueleweka kbs kwamba mtume paul na petro mwanafunz wa YESU umeona kuna uwingi wa wanafunzi hapo au mihemko ya upagan wa rumi imekuvuruga muabudu masanamu. Lete ushahidi hapa wa paul na petro kuzkwa vitcan hapa tuone maana huwa mnadanganywa eti hao walikuwa mapapa wa roma ktu ambacho si kweli mpk paul na mitume wa YESU Wanakufa hakukuwa na takataka iitwayo kanisa katoliki kama lingekuwepo wkt wao bs kwny zle nyaraka za paul lingeandkwa kbs kanisa katoliki. Au walipoandka kanisa bs mapadri wenu wanawadanganya ni kanisa katoliki? Zezeta la karne wewe.
 
Zama za kiimani kwa Kanisa Katoliki zimebadilika, maisha ya waumini na Mapadri ndani ya Kanisa Katoliki yamebadilika, na mifumo ya kimaisha imebadilika.

Sio siri tena, Kutubu mbele ya Padri kwa sasa kumekuwa sumu ya kuwaumiza waumini au kitendawili chenye kukosa majibu.

Kiapo cha Upadri kutunza siri za waumini kimepoteza mwelekeo, Mapadri wamekosa uaminifu mbele ya waumini na mbele ya jamii, imani na amani baina yao haipo tena. Muumini anazini, padri naye anazini nani wamkutubisha mwenzie.

Muumini ametoa mimba na Padri amebaka mtoto anayemfundisha komunio, nani akatubu kwa mwenzie?

Muumini anayetafuta msaada wa kuokoa ndoa yake kwa kumwambia Padri naona alivyokosea, Padri anatumia mwanya huo kuzini na mkewe

Sasa huu ndio wakati muafaka zaidi kwa kila mtu kwenda kutubu kwa Mungu wake ili kila mtu apambane na dhambi zake kwa muumba wake?
Ndio maana wapemba hawayataki haya makanisa uchwara
 
Kwahyo wakuu mkishamuambia padri yeye ndo anaenda kumwambia mungu au?

Inafurahisha sana
 
Back
Top Bottom