Hati ya Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe iliyotumiwa Julai 26, 2021

Unaamini ni kweli alitaka kulipua vituo vya mafuta na mikusanyiko ya watu??
 
Hiyo Fund ni dola ngapi mbona hazitajwi kwenye Particulars of facts au ndio Fund tu ivyo ivyo wasomi?
 
Mashtaka ya kipuuzi na ya kutunga, Mbowe kutaka Katiba Mpya sio kupanga kulipua vituo vya mafuta, hii dhulma iko siku mtaulizwa mbele ya safari mmekosa aibu kabisa.
Mamlaka hii nayo natoka kwa Mungu eti!?!!
 
Dah! Kutoka kupanga njama za kuua viongozi wa serikali hadi kulipua mitungi ya gesi!?
Upuuzi huu huwa anaupanga nani lakini? Kweli nimeanzan kuamini njama za kumuua Lissu walizipanga hawa hawa vichwa "think tank" waliondaa hii kesi......!

Watanzania kwa umoja wetu kazi yetu sasa iwe ni kuwatafuta hawa vichwa panzi! Unaweza kuta wapo sehemu nyeti serikalini ambayo maamuzi yao ndio yanaliongoza hili taifa! Hawa ndio wanapitia majina ya teuzi za mawaziri, mabalozi,nk hawa ndio wanajifungia sehemu na kuja na mbinu za kuinua uchumi na kutafuta muafaka wa tatizo la ajira, nk.nk....Jamani tuwatafute ili kunusuru taifa hili!
 
Hivi kweli toka may 2020 yawepo mashitaka kama haya tena chini ya Magufuli halafu Mbowe ni mmoja wapo halafu Magufuli akae kimya bila kusema? pengine hao vijana walipanga hayo lakini kumuhusisha Mbowe ni uongo ambao itakuwa ngumu kuhuthibitisha kamwe......
Kama Mbowe angekuwa ameyatenda haya Magufuli asingelinyamaza hadi anakufa lazima angelisema kabisa wazi... asingeficha hiii...

Mimi kawakweli sijawai kuwa fan wa Mbowe na nimekuwa nikimtania sana Mbowe humu jf lakini katika maisha yangu ataungeniambia kuwa Mbowe ni mtu muovu au anapanga uovu tena ugaidi kama huu ulioandikwa hapa na DPP kwakweli nisingekuamini na kamwe siwezi kukuamini.......Mbowe awezi fanya haya....... uzuri wakati taarifa zinatoka hizi pale tulipokuwa watu wote sio fan wa Mbowe lakini walikataa kata kata kuamini taarifa hizi na wengi tulisema wazi hakuna ushahidi nitauamini kuwa Mbowe ni gaidi....
Mbowe awezi fanya haya kamwe kamwe...
Hapa wanapoteza muda tuuu
 
Chama kinapaswa kuwa na green guard tu.
 
Kwani huyu DPP si ni yule mpya baada ya yule wa sukuma gang kukomeshwa?

[emoji23][emoji23]
 
Mashtaka ya kipuuzi na ya kutunga, Mbowe kutaka Katiba Mpya sio kupanga kulipua vituo vya mafuta, hii dhulma iko siku mtaulizwa mbele ya safari mmekosa aibu kabisa.
Hata ya Sabaya ni ya kipuuzi na ya kutunga...kuimba ni kupokezana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Si ndo akili hizo zimekuja na tozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ