Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

Hatima ya mtumishi aliyefukuzwa kazi kwa utoro kazini akiwa shuleni kwa barua

Uko sahihi! Ndio maana nilimuomba documents za termination ili kujua sababu yake nini? Maana hata Kama ni utoro(abscondment)kisheria ina taratibu za kufuatwa kabla hujamfukuza kazini,hasa kwa mfanyakazi mwenye mkataba wa kudumu.
Mkuu! Kuna Watu wa hovyo sana kwenye hizi Tume za Utumishi ambazo zinashughulikia Rufaa kwa Watumishi wa Umma, yaani kuna Watumishi ambao hufukuzwa Kazi bila kufuata taratibu lakini Tume hizo huthibitisha adhabu hizo bila kujali taratibu zilizokiukwa, nina ushahidi kwenye hili.

Kinachosikitisha wengi wao walioaminiwa ni Vijana kabisa sasa sijui tatizo ni uelewa au ni maagizo kutoka juu ya kuhakikisha Watumishi hawashindi kesi.
 
Ni kweli aisee, vijana lakini hawataki kuleta mabadiliko wao kazi ni kufuata maelekezo.

Kwenye ulimwengu huu tumezaliwa ili tuishi tukifanya mabadiliko, sio tu tukifuata maelekezo. Inatakiwa tunapoondoka tuache alama.

Moja ya mapungufu ya tume ya utumishi (PSC) ni kutoonesha kama ina wataalamu wa sheria ambao ndio wanapitia hukumu zinazokatiwa rufaa. Pale inaonesha kuwa wasikilizaji wa rufaa ni makamishna ambao wapo 6, sasa haielezwi wanasikilizaje hapo nk tofauti na CMA ambako utaratibu mzima wa kusikilizwa kesi umewekwa kisheria. PSC mtu hawezi hata kujua kama rufaa yake itasikilizwa, yeye anaona tu anapokea barua kuwa rufaa yake ilisikilizwa. Hapo ni ngumu sana kutendewa haki. Kwanza utaaminije kuwa kweli rufaa yako ilisikilizwa??

Sasa vijana waliopo huko PSC ndio ilitakiwa wapambane kuhakikisha rufaa zinasikilizwa kwa uwazi. Waishauri tume kuwa hakunaga rufaa zinazosikilizwa kwa mfumo wa hivyo, hapo ni sawa na kuwanyima watu haki ya kusikilizwa.
 
Mkuu! Kuna Watu wa hovyo sana kwenye hizi Tume za Utumishi ambazo zinashughulikia Rufaa kwa Watumishi wa Umma, yaani kuna Watumishi ambao hufukuzwa Kazi bila kufuata taratibu lakini Tume hizo huthibitisha adhabu hizo bila kujali taratibu zilizokiukwa, nina ushahidi kwenye hili.

Kinachosikitisha wengi wao walioaminiwa ni Vijana kabisa sasa sijui tatizo ni uelewa au ni maagizo kutoka juu ya kuhakikisha Watumishi hawashindi kesi.
naunga mkono hoja ya msomi SAJO
 
Kwenu wanasheria.

Mpwa wangu alikuwa chuo akisoma shahada ya pili!

Kwenye kile kipindi cha giza alitolewa kwenye ajira kwa kisingizio kwamba alikuwa nje ya kituo cha kazi na kwamba muajiri alikuwa hajui alipo.

Amejaribu kufuatilia lakini ngoma ngumu. Japo kuna wadau wanasema anaweza kurudi as long as siyo kosa la kinodhamu.

Naomba ushauri wenu tafadhali
Mhhh....aliendaje shule bila ruhusa ya mwajiri!!??
 
Sababu ya kuachishwa ilikuwa ni nini?na je alishawahi kuchallange maamuzi ya mwajiri wake kokote?au anasababu za mashiko ili kuomba kufungua kesi nje ya muda CMA?na yuko wapi?kama uko serious karibu tufanye kazi Boss maana kutype hapa kidogo inakuwa changamoto
Kweli kabisa

Consultation fee muhimu

Ulikosomea hawakuwepo
 
abscondment/utoro kazini kwa siku zaidi ya 5 pasipo ruhusa ya mwajiri ni kitendo cha utovu wa nidhamu na inaweza pelekea kuachishwa kazi kwa sababu za kinidhamu.Japo kuna namna ya kuweza kuepuka hilo kwa kutoa vithibitisho .
Vithibitisho vipi mkuu kama itawezekana naomba nitajie
 
Vithibitisho vipi mkuu kama itawezekana naomba nitajie
Approval ya mwajiri ya kutokuwa kazini,kama alikuwa anaumwa basi hapa kutakuwa na medical notes zitakazo onesha alikuwa anaumwa katka kipindi chote ambacho hakwenda kazini NB: japo hii ya ugonjwa kidogo ina complications.
 
Barua zote zipo na it was got sponsored studies
Kama barua za ruhusa anazo kwanini hakuzipeleka kwenye hearing?? Yaani barua za ruhusa awe nazo halafu afukuzwe kazi??

Kama kweli anayo ruhusa ya kwenda masomoni na akafukuzwa kazi kwa kosa ambalo hakulifanya kwanini hakukata rufaa tume ya utumishi wa umma
 
Back
Top Bottom