Godman
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 423
- 650
Mkuu! Kuna Watu wa hovyo sana kwenye hizi Tume za Utumishi ambazo zinashughulikia Rufaa kwa Watumishi wa Umma, yaani kuna Watumishi ambao hufukuzwa Kazi bila kufuata taratibu lakini Tume hizo huthibitisha adhabu hizo bila kujali taratibu zilizokiukwa, nina ushahidi kwenye hili.Uko sahihi! Ndio maana nilimuomba documents za termination ili kujua sababu yake nini? Maana hata Kama ni utoro(abscondment)kisheria ina taratibu za kufuatwa kabla hujamfukuza kazini,hasa kwa mfanyakazi mwenye mkataba wa kudumu.
Kinachosikitisha wengi wao walioaminiwa ni Vijana kabisa sasa sijui tatizo ni uelewa au ni maagizo kutoka juu ya kuhakikisha Watumishi hawashindi kesi.