Good-bye
JF-Expert Member
- Feb 12, 2023
- 1,085
- 1,812
Yeah, sure...ubinafsiNi watu wachache waliopo kwenye mfumo baada ya wao kula na kushiba hawakuona umuhimu wa wengine, na hili mara nyingi husababishwa na ubinafsi, ukiritimba na roho mbaya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah, sure...ubinafsiNi watu wachache waliopo kwenye mfumo baada ya wao kula na kushiba hawakuona umuhimu wa wengine, na hili mara nyingi husababishwa na ubinafsi, ukiritimba na roho mbaya.
Kwanini na yeye adanganyike?. Anatakiwa akatae kudanganywa!Yule mama Kuna watu wanamdanganya kama alivyokuwa anadanganywa mwendazake...
Noma sanaWamelamba asali Kwa kweli
CCM Haina uwezo wa ushawishi tena. Kwa taarifa yako. Ccm inajua na ina uhakika uchaguzi ukiwa huru na haki angalau kwa 50%tu,tutaongea mengine.Wakati CHADEMA ikikomaa na NO REFORM, NO ELECTION, ACT WAZALENDO nao wamekuja na mpya kususia vikao vya umoja wa vyama vya siasa kwa madai kama ya CHADEMA, CCM wao wako busy kubuni mbinu za kunasa makundi mengi ya wananchi waisapoti na kuipa kura nyingi uchaguzi mkuu. Wanabuni vikundi vya ajabuajabu kama wadudu wa Arusha, wapuuzi wa NETO, wanawake wa samia, vikundi vya walemavu, mama/baba lishe, wapaa samaki, washindilia vitunguu kwenye magunia, wajasiriamali wa aina zote, motivation speakers, ma MC, ma producer, wasanii wa fani zote, ma DJ, vikundi ni vingi na orodha ni ndefu, CCM imejipanga kwa kampeni kabambe, wanakuambia UTU NA KAZI, TUNASONGA MBELE. Kiufupi CCM tayari wako mbele kwenye kampeni kabla muda rasmi haujaanza. Kwa hali hii hawa hata wakishinda ni halali yao kwa jinsi strategy ya kupata kura wanayoipata. Nafuatilia na nahudhuria abrakadabra zao nyingi wanazoziandaa kujiweka tayari kwa kampeni na kuvuna kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu. Wapinzani bado wamezubaa sana,