Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Sijasema wote lakini mkuu walokole wengi tunao mitaani kwetu tunawaona mkuu ni kosa kuwasingizia wapendwaSiyo kweli! Mfano mmoja mbovu hauwezi kuwa kielelezo cha jamii kubwa sana ya walokole/wakristo wa kweli!
Una uhakika alibaka?Ndoa ya kikristo inavunjika kwa sababu mbili
Uasherati
Kifo
Sasa kama mbasha alibaka, unataka nini tena!
Mkuu umemaliza. No comment!Kama editing ila ndo ukweli.maisha yanaenda kasi kweli kweli.
Unasema bora miili inaendana badala useme Akili na Feelings.Acha mawazo chakavu dear, mbona mdada wa miaka 26 anaolewa na Mme wa miaka 38! Ni maelewano tu!
Na umri wa waoanao sio tatizo bora miili yao inaendana
Kwani hapo si mzinifu?na tamaa zake za kimwili angempelekea nani? angekua mzinifu, bora nini sasa?
Oooooho!! Subiri ampate mwingine na ww uachwe utafurah na roho yako, ivi hujaona wanawake ambao ni wapya wapya? Anyway nenda urudi umepoteza mudaKifupi kuna mtu tunapendana na kaachana na mumewe na mumewe yupo hai bado sasa nikifikiria haya ya Flora wanaposema hayuko sahihi kufanya hayo ndiyo nachoka kabisa mm nakosa raha.
Maombi hayo, na miujizA,Kuna watu wanabahati, kuna wanaoingia kaburini hawajawahi kuvaa gauni hili wengine wanalivaa zaidi ya mara moja. Ninawatakia maisha ya heri na furaha mr and mrs Kusekwa.
Mchungaji kwanini hili swali tusikuulize wewe?Iv iyo ndoa kafungia kanisa gani?????
Kinyaaa vep watu wameshachukua mzigoKinyaa cha nn mkuu
Flora kaweka historia kwa waimbaji wa nyimbo za injili kuolewa marambili.
Kilichounganishwa na Mungu binadamu hawezi kukitenganisha.....Hehehe nani kasema....?
Single touch, double manifestation!!Dini yenye double standard.
Nimejua baada ya penzi kunogaOooooho!! Subiri ampate mwingine na ww uachwe utafurah na roho yako, ivi hujaona wanawake ambao ni wapya wapya? Anyway nenda urudi umepoteza muda
Achana nae....hilo ni time bomb,,, kama ni demu gonga tu ila kama ni mke wa kuspend nae life time, kwene uzima na maradhi, kwene njaa na shibe, n.k achana nae tafuta mwanamke wa kuoaNimejua baada ya penzi kunoga
Mchungaji kwanini hili swali tusikuulize wewe?
Huu ndio ulokole?