Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Shauri la talaka ili lisikilizwe mahakamani lazima liwe na mambo yafuatayo.
1. Tishio la Maisha
2. Uzinzi
3. Kutengana
4. Usuluhishi ulioshindikana Baraza la Kata.
Hivyo mstaki anadai yafuatayo.
1. Talaka
2. Mgawanyo wa Mali
3. Malezi juu ya watoto.

So akipewa fomu na3
Lazima aandike offense zinazomfanya adai talaka.
hakuna talaka inatolewa bila kuwa na hizo makosa..
Sasa kimsingi anayeshtakiwa iwapo anataka mambo yaende tu fasta, ANAKIRI KILA KITU.
Hakimu hana budi kutoa hukumu.
Ukimalizia na hutaki pia mgawanyo wa mali abaki nazo anayezidai.
Ah mbona mserereko.
wanaopata shida ni KUKATAA MASHTAKA DHIDI YAO NA KUKATAA MGAWANYO WA MALI
Hapa ndo ngoma.
Ila kama wenzangu na mie, aaaah ganda la ndizi tu.
Hakimu wanapedna kesi za hivi as havimpi kichwa kuuma.
Sasa hii reaction ya HEWALA sio kitu kinachotarajiwa na wanaopeleka kesi.
HAPO NDO unaskkia, naomba tuongeee, wewe bana tuongee nini?

TUENDELEE ULIPOISHIA!!!
 
Hakuna furaha ya dhati kwa watoto Kama kuwaona wazazi wao walkways wamoja, hata Kama hawana kitu!
Ikishindikana kama hii ya mtoa mada, basi kuwa na uhakika hakuna namna itawafurahisha watoto wao, lawama zote zinaenda kwa mwanamke, ameamua kuwa mpumbavu kwa mambo yake ya hovyo hovyo (ikiwa msimuliaji amesema kweli)
Hatma ya watoto wao imeshaingia dosari, japo wanaweza kufanya vizuri kabisa na wakafikia ndoto zao kwani Mungu anafanya yaliyowashinda wanadamu!
 
Kila mmoja ataenda kwa wakati wake.

Haina hata haraka, we kapige zako hela chimbo huko.

Mwenye shida na talaka ataifuata.

Mahakama ipo tu utaenda hata miaka 19 ijayo.
Recordings zimeshaandikwa.
Naona unampa ujuzi kaka angu. Mkiwa mnaongea huko pm au whatsApp utamfundisha vitu vingi zaidi na atapona haraka sana.
 
Ahahahah..sio wote, ila wengi
On a serious note...haka kakipindi katakupeleka resi kiaina ila what doesnt kill us makes us stronger. Kaa mbali na sketi kwanza maana ni rahisi kuangukia chaka bovu tena. Kama utaweza jijenge upya kuanzia kiroho mpaka kimwili, kama kuji-rejuvinate flani hivi. Just know HILI NALO LITAPITA. Tumejifunza kwako budda, Mungu amrehemu huyo dada.
 
Nimemwambia akae mbali na sketi kabisa.
Asijifanye umwamba

Ehehehehher talaka ina relapse kama drugs.
Maaaanina!!
Ghafla tuu hasira zinakupanda, ehehehe watu huchukulia poa wanataka waonekane wamemove on haraka, weeeeh.

Atulize kengele
 
Nimekuelewa mkuu. Ahsante sana
 
Nimemwambia akae mbali na sketi kabisa.
Asijifanye umwamba

Ehehehehher talaka ina relapse kama drugs.
Maaaanina!!
Ghafla tuu hasira zinakupanda, ehehehe watu huchukulia poa wanataka waonekane wamemove on haraka, weeeeh.

Atulize kengele
Very very true. Kuna namna nilikua nimeandaa kisasi juu ya huyu mtu ila nikaghairi baada ya kufikiri kwa kina
 
Kunawakat Haina budi kusema aende maana inakuwa Haina maana ya mke tena
 
Sasa na hapa ndipo pamekua pakinichanganya zaidi, yan inakuaje mama yao hayaoni wala hayafikirii haya masuala?????

Wewe ndo unajua maumivu unayoyapitia, sie wengine tunaandika tu.
Akili zitamrudi baadaye.
 
HOnestly sina mpango huo mkuu. Na hii ni kwaajili yao hapo badae. Maana najua mama yao yeye plan yake ni kuishi na mtu sasa mimi siwez tena hizo habar zitakua zinamalizwa juu kwa juu.
Unajidanganya ni hasira tu, bora mwanamke anaweza kuwa hivyo sio mwanaume..!!
Usiwasikize hao kataa ndoa ni waongo wote wameoa wana wake zao ila hapa ni sehemu ya kutolea stress zao..!! Muda utafika lazima utahitaji mke tu.!

Mwanamke anaweza kufiwa na mumewe akavumilia kukaa bila kuolewa tena lakini sio mwanaume..!!

Mkuu mimi sikulazimishi mrudiane ila mmeweka doa kubwa sana kwa watoto wenu niamini mimi..!
 
Hapo ni watoto ndo watateseka..!!
Madhara watakuja kuyaona baadae sio sasa.
 
Sasa hivi utakuwa mpya 😆 utashangaa ulikuwa unang'ang'ania nini kwenye tanuri la moto. Ndoa ni nzuri ikiwa kila mmoja anafanya effort inawiri na kustawi lakini ikiwa one sided inachosha kuliko rejesho la mkopo wa gari. Tafuta sehem ukapumzike utafakari kisha usonge mbele. Wanandoa wengi huwa hawajifanyii self evaluation kazi kulalama tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…