Hatimae hukumu imetoka tayari, siku ya kwanza tu ya kesi kusikilizwa

Nilichogundua wewe ni mwanaume.
Mimi binafsi sipendi mambo ya kesi na kuvutana.
Ukinizingua nakuachia kila kitu napita hivi.
Amani ni bora kuliko mali na mapenzi fake
Kuna watu kimsingi kuwa hawapendi hekaheka. Wanaamua kuacha kila kitu ili jambo liishe. Nadhani hii njia nzuri kwa mtazamo wangu. Kuna wakati tusihofie kupoteza kwa maana hakuna kitu kitakachodumu daima.
 
Hongera sana mkuu umetua mzigo sana Nina Imani utakuwa huru sasa maana tulikuwa tunakaribia kukukosa.
Ahahahah..kwakweli pale mwanzon hata mimi nilikua naona kabisa, nachizika. Ila namshukuru sana Mungu amenihurumia sana akanipa utulivu, ila niwe mkweli, nimelia lia sana kwenye hili sakata
 
This is for those who cares. Mimi huwa ninawaambia ndg zangu kuwa kama huna utayari wa kuoa au kuolewa usiingie ktk ndoa. Full stop
 
πŸ˜‚πŸ€£ ila wee mwanaume umeiva umekomaa, kwenye chama chetu cha KATAA NDOA tunakupa kiti cha mbele kabisa na tunafikiria kukupa uanachama wa kudumu bila masharti...
Jinsi ulivyo mpangua mkeo na vikundi vyake vilivyokuwa vinamshauri upuuzi hakika umeupiga mwingi...
Nikuambie tu umefanya mauaji makubwa sana ktk maisha yake na kwa familia yake iliyokuwa inam support upuuzi. Huyo mwanamke atakonda atafubaa atatombeka hovyo na atayakatia tamaa maisha yake yote... Kama ana roho nyepesi atakufa mapema sana ila kama ana roho ngumu ataishi kwa mateso na majuto makubwa sana...
Wanawake ni wapuuzi sana πŸ’©πŸ’© yaani yeye ame calculate mkiuza nyumba atapata million 50+ hajui hata angepata million 500 mwanamke mapumbavu hiyo pesa inaisha ndani miezi michache na hakuna cha maana kafanya...
All in all yote 9 ila 10 ni huo mzigo wa watoto 4 alio ng'ang'ania kuubeba, nakuambia lazima auze uchi ila ahudimie hap watoto πŸ’©πŸ’© alivyo mpuuzi anadhani 150k uliyosema utampa ni kubwa kwa mwezi. Halafu hajui kumpa hiyo pesa sio lazima unaweza kutoa sababu yoyote ya kipuuzi ukaacha kuitoa...
Ila amini usiamini ipo siku hivi karibuni atakurudishia watoto uishi nao wewe... Pia ipo siku hivi karibuni atakutafuta kwa njia yoyote akuombe msamaha yeye na ndug zake au wachungaji (aiseee hata aje na Yesu kamshika mkono usikubali kuwapa hata sekunde 1 kuwasikiliza)...

All in all KATAA NDOA ni mpango mzima
MUNGU tubariki Kataa Ndoa, Mungu waokoe vijana na Ndoa
 
Aisee ulijuaje mwisho wa siku watakuja ndugu kuomba radhi.
 
Maaaakeee walaahi umeuaaa mwamba
 
Nilichojifunzs hizi Mahakama Kuna upungufu sana kwenye Sheria maana Mwanaume unapewa majukumu ya kusomesha watoto na bado Mali unapata mgawo mdogo. Ndoa ni kwa ajili ya kuwatajirisha wanawake na kuwarudisha nyuma kiuchumi wanaume. Sasa umejifunza naamini hutafanya Tena mistake hizo.
 
Extremely bad precedent
 
Ni kwel chief. Uko sahihi
 
U have said it all.
 
Ahsante chief..let's see. Ila kwa upande wangu nimemaliza. Kama wao bado wana jambo basi tutasikia tu, watalisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…