Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Hatimae Kelvin Twisa afunga ndoa

Pumbavuuuu (in Ray Kigosi Voice) Wametaka wenyewe kuwa HURTED na njaa zao, wanawake wa mjini punguzeni njaa mkimuona tu mwanaume ana pesa mnaanza kuvua chupi kabla hamjaombwa , alafu baadaye akiwatosa na kuoa mtu mwingine Oooh he hurts lots of girl…---- off get a life bitches…hurt my foot, Mbona walala hoi awamhurt mtu yoyote

P.S Siku diamond naye akija kuoa mtu mwingine tofauti na wa dada wa mjini tutakuja kusikia hayo hayo, mbona waimbaji wasiokuwa na pesa hawa hurt mtu yoyote?
 
Baadhi ya maarufu ni mama mwenye blog ambayo jina lake ni kama vile unaendesha gari halafu ukakata kule ulikorudi ghafla (NGEMA), mrs sembe, millean magese, cynthia, mke wa babu wengine wataongezewa na wadau

Ukiacha Happy (Millen) Magese ambaye sina historia yake, hao wengine mbona walikuwa ni vicheche wasaka noti wa mjini tu. Unless kama kuna orodha nyingine nje ya hiyo. Mabrazamen wengi wenye pesa na majina mjini wanashobokewa sana.
 
madem waliogongwa na kutoswa na twisa naona wanatoka povu huku.jamani papuchi zenu hazina utamu ndo maana hamjaolewa
 
kama kabadilika Hongera zake ila ajue ame wahurt wadada wengi sana tu and my friend is among of them

Hii ni ndoa ya kwanza ya kelvin .Hajawahi kuoa sasa nyinyi mnaopiga makelele kwani mliolewa nae .Dating process ndio ilivyo you choose the best .Nyie Wenyewe mmeona chaguo lake MWANAMKE mwenye elimu,katulia,anaheshima,sio mashauzi na majungu mavitenge mtaani ,good family ( morals values ) .Kelvin is from good family too hawezi toka na watu wa magomeni mapipa vingunguti huko msiojua hata ustaarabu ndio maana hajawaoa .Ndio mjue mwamaume mwenye pesa zake na Akili ( kelvin is very intelligent ) .Hawezi oa watoto wa kupenda midundiko,shanga na vi cream fake .Cheki Eleanor alivyo natural banaa ame focus ,yupo exposed angalau kelvin akimwambia tunawageni Leo anaweza entertain sio Nyie matusi na hata kuweka meza kwa mlo hamuwezi mnaleta bakuli la maji badala ya uma na kisu .MTULIE WANAUME WAKIOA WANATUMIA AKILI .We wish kelvin all the best .Akicheat sasa akiwa Kwenye ndoa that will be a problem .Wanaume hawaoi na hawapendi WANAWAKE wenye mashauzi na tamaa za ajabuajabu it's a big turn off .Leo unakutana na Kelvin anakutaka unaanza kutaka kuhudumiwa list ya vitu .Eleanor very independent woman hamwitaji kelvin kwa pesa mnalo Hilo
 
Ukiacha Happy (Millen) Magese ambaye sina historia yake, hao wengine mbona walikuwa ni vicheche wasaka noti wa mjini tu. Unless kama kuna orodha nyingine nje ya hiyo. Mabrazamen wengi wenye pesa na majina mjini wanashobokewa sana.
Walikuwa wakimuona kelvin wanamuona ATM .Eleanor anamuona Kelvin Binadamu anaehitaji kupendwa na kuthaminiwa sio kutumiwa kipesa .Hamtamuona ng'oooooooo mtaani amepata MWANAMKE anaemthamini sio kumchuna
 
Hii ni ndoa ya kwanza ya kelvin .Hajawahi kuoa sasa nyinyi mnaopiga makelele kwani mliolewa nae .Dating process ndio ilivyo you choose the best .Nyie Wenyewe mmeona chaguo lake MWANAMKE mwenye elimu,katulia,anaheshima,sio mashauzi na majungu mavitenge mtaani ,good family ( morals values ) .Kelvin is from good family too hawezi toka na watu wa magomeni mapipa vingunguti huko msiojua hata ustaarabu ndio maana hajawaoa .Ndio mjue mwamaume mwenye pesa zake na Akili ( kelvin is very intelligent ) .Hawezi oa watoto wa kupenda midundiko,shanga na vi cream fake .Cheki Eleanor alivyo natural banaa ame focus ,yupo exposed angalau kelvin akimwambia tunawageni Leo anaweza entertain sio Nyie matusi na hata kuweka meza kwa mlo hamuwezi mnaleta bakuli la maji badala ya uma na kisu .MTULIE WANAUME WAKIOA WANATUMIA AKILI .We wish kelvin all the best .Akicheat sasa akiwa Kwenye ndoa that will be a problem .Wanaume hawaoi na hawapendi WANAWAKE wenye mashauzi na tamaa za ajabuajabu it's a big turn off .Leo unakutana na Kelvin anakutaka unaanza kutaka kuhudumiwa list ya vitu .Eleanor very independent woman hamwitaji kelvin kwa pesa mnalo Hilo

Mwambie akae aitulize dudu yake sasa maana ingekuwa sabuni ingeshaisha siku nyingi sana.

so sorry i didnt waste my time reading your post!!!!!!
 
Kelvin kelvin, ni nani hapa bongo jamani, wengine tuko huku magu hatujawahi kumsikia
 
Shortly kamtetea kelvin na kuponda wanawake wenzie
...ila ajue ht uswazi wanawake wastarabu wapo na si kwamba wako masaki pekee....

Wewe ungekubali kugeuzwa ATM .Unatafuta mapenzi kinachofuatia unachunwa.Eleanor sio mchunaji ana zake ametulia.wanaume Wote duniani Kabla hawajaoa wana date a lot .Kwa nini wamwandame kelvin ? Amewakosea nini ? Ameamua kuoa ni Jambo la pongezi sasa mlikuwa Mnataka afanye nini sasa .Sasa Hivi ni mume wa mtu aki cheat sasa that will be a problem ndio muanze kulalamika.Hao WANAWAKE aliwa force au kidnap .
 
Back
Top Bottom