Hatimae nimekuwa mwanaume kamili, nimeachana na ushoga

Ukisha kuwa shoga
sifa ya kuwa baba wa familia automatically inapotea
 
Duh Mungu ni mwema hatimae umotoka kwenye kifungo Cha ibilisi. Mkabidhi Yesu maisha Yako nae atayafanya kuwa mapya kabisa
Yesu yupi, huyu waumini wake wanaobariki ndoa za jinsia Moja huko Makanisani au?
 
Hsya mabazazi watakufata hukohuko pm wakurudishe kulekule chooni
 
Kizibo cha soda kikiweza kurudi kwenye chupa ya na kufungua tena kwa opener hapo ntakuamini mkuu ila kwasasa Washendaze!🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…