Dah.
Sjasoma hata kusoma andiko lako.
Ila Kama umeacha kweli Kama kichwa kinavyossema hongera mze.
Hapa JF na kwenye jamii kiujumla watu wanaweza kukufanya ujiskie vibaya pale watapijua ulikua shoga. Ila kaza moyo maneno yao yasijekukusononesha kias Cha kurudi huko kutafuta kujiliwaza Tena.
Any way ... Jamani Kuna Binti au hata mshangazi alieko free nije pm ??
πππππ.
Mimi lijari bado .. jogoo linawika sauti inatoka hapa na kwa mparange.
ππππ.. natania shubaa miti. Msije mkajazana huko mkanibemenda .
.