Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Namshangaa kaenda kuoa dubwasha kama lile, hawaendani hata kidogo.
Mkuu kila mtu na mtuwee... Van ni mzuri hasa ila hata bibi harusi sio mbaya labda sababu ni mnene kupitiliza.
 
Kayoka... sasa wabaya wataolewa na nani??
Sijui yani nani atatupa sisi... wanataka tuolewe na wabaya wenzetu tuzidi kuongeza idadi ya wabaya duniani. Ila kwa Zainab na Abdul watazaa watoto wazuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…