Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

Sio bucherman huyo🤒🤒🚶‍♂️🚶‍♂️🚶‍♂️
 
Si lazima tung'ang'anie siasa maisha yote , unaweza pia kumtumikia Mungu na ukajitengenezea maisha mapya ya Ucha Mungu ikawa neema yako hapo baadaye .

Ally_Bananga_on_Instagram:_“Salamu_toka_Siha”%22_.jpg
Governor_Kaduma_(@governor_kaduma)_posted_on_Instagram_•_Apr_5,_2021_at_1:44pm_UTC%22_.jpg
 
Dah, nilitegemea jambo hili ingawa si kwa muda kama huu, natumai hata Jiwe angekuwepo baada ya kustaafu sana angeitwa!
Ila Mwanri ile vocal yake dah inatosha kutolea mapepo!
 
Aongozwe sala ya toba Kwa kumtaka Mungu amshukuru mwenda zake.
 
Hakika shambani kwa bwana mavuno ni mengi lakini watenda kazi ni wachache.

Heri wamchaao bwana maana ufalme wa mbinguni ni wao.

Agrey mwaniri sasa ni mpakwa mafuta.

Ni mchungaji aliyeamua kuacha kondoo 99 na kumtafta yule mmoja aliyepotea ili asishambuliwe na mbwa mwitu.

Huyu Mzee amekuwa waziri,mbunge,mkuu wa mkoa,na unaweza kukuta hana hata shughuri iliyoajiri vijana hata wawili,unaweza kukuta anaishi kwa pensheni.
 
Hii taarifa si rasmi natamani nimsikie akdress hilo
 
Huyu mzee ana stress za kustaafu
Wale waliopo siha wana mengi ya kusema huu ya hili
Teuzi hakuna tena god father is no more
Alishatemana na godfather siku nyingi.
 
Back
Top Bottom