Hatimaye Aggrey Mwanri awa Mchungaji rasmi. Sasa ukisikia soma hiyoo! Ujue ni somo la Injili

Sio bucherman huyoπŸ€’πŸ€’πŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈπŸšΆβ€β™‚οΈ
 
Dah, nilitegemea jambo hili ingawa si kwa muda kama huu, natumai hata Jiwe angekuwepo baada ya kustaafu sana angeitwa!
Ila Mwanri ile vocal yake dah inatosha kutolea mapepo!
 
Aongozwe sala ya toba Kwa kumtaka Mungu amshukuru mwenda zake.
 
Huyu Mzee amekuwa waziri,mbunge,mkuu wa mkoa,na unaweza kukuta hana hata shughuri iliyoajiri vijana hata wawili,unaweza kukuta anaishi kwa pensheni.
 
Hii taarifa si rasmi natamani nimsikie akdress hilo
 
Huyu mzee ana stress za kustaafu
Wale waliopo siha wana mengi ya kusema huu ya hili
Teuzi hakuna tena god father is no more
Alishatemana na godfather siku nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…