Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa


Mbona ni Mwanamke wa kawaida sana ukilinganisha na Mademu zangu wote niliofanyana / ngonoka nao huko nyuma?
 
Hebu muangalie mara ya pili mkuu hichi kifaa hatari...

Hamna Kitu hapo Mkuu na naanza sasa kupatwa na wasiwasi kuwa huenda Wewe ni Mgeni wa Mbunye Mkuu. Ni Mwanamke mzuri tu ila siyo mrembo. Mtafute Mtu akupe tofauti ya Mzuri na Mrembo kisha utanielewa namaanisha nini tafadhali. Tanzania kuna Mademu / Wanawake warembo huyo anasubiri mpaka unajiuliza Mwenyezi Mungu alimuumbaje umbaje.

Hiyo Ndito ni ya kawaida sana Mkuu wala usitishike.
 
Kakaa katulia hakua na haraka ndomana kapata chombo cha uhakika maana tokeanamjua mwasongwe hadi Leo naona ni Muda sana zaidi ya miaka 15 kumbe alikua hajaoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…