Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Fresh mkuuKula like ya position yako
Sent from my TV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fresh mkuuKula like ya position yako
Sent from my TV
Kwa nini Miss?muda wote alikuwa hajaoa? ila ndoa za walokole hazinaga raha yoyote .labda huyo dada awe sio mlokole
wana gubu sana .hata tendo la ndoa atakuambia mungu hajamuonesha msex siku hiyo.ngoja tumuulize bwana blah blah kibao.Kwa nini Miss?
Walokole nao wengi wa habari?
Kamba tu.wana gubu sana .hata tendo la ndoa atakuambia mungu hajamuonesha msex siku hiyo.ngoja tumuulize bwana blah blah kibao.
mwanakwaya ana nini mkuu?Kamba tu.
Umpate mwanakwaya, weeee, utamkimbia mwenyewe.
Kwa nini bibieMungu akutangulie ila miaka mitano mingi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaaa, mwanakwaya akiwa mbele pale ana macho ya huruma na utawa utafikri michezo haijui.mwanakwaya ana nini mkuu?
[emoji23] [emoji23]muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
Hahaha hata mm nimeliona hilo pia lakini nimekausha tu usimhukumu mtu kwa kumtazamaUna maana miaka yote alikuwa ana Fanya zinaa Tu. Halafu hako Ka binti kanaonekana kajanja hakaendani na huyo jamaa
Nipe sababu kwanini hazina raha???huyo dada lazima aokoke nuru na giza haziwezi kaa pamoja??muda wote alikuwa hajaoa? ila ndoa za walokole hazinaga raha yoyote .labda huyo dada awe sio mlokole
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahaaa, mwanakwaya akiwa mbele pale ana macho ya huruma na utawa utafikri michezo haijui.
Ukimpeleka chumbani unasema kudadadeki we mtoto mi nakuona mwanakwaya mambo huyajui ndo unataka kunirusha mpaka darini?
Halafu kesho akikuona kanisani "Bwana asifiwe".
Acha mzaha bwana na Imani za watu!wana gubu sana .hata tendo la ndoa atakuambia mungu hajamuonesha msex siku hiyo.ngoja tumuulize bwana blah blah kibao.
Raha gani unayoisema wewe?muda wote alikuwa hajaoa? ila ndoa za walokole hazinaga raha yoyote .labda huyo dada awe sio mlokole
Mung wangu ushetani huuNani mwenye namba za simu za huyo mwanamke......nitatoa donge nono kwenu.