Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Na hizi hela ndio chanzo cha mahusiano kuyumba 😂😂😂!!! Kum control mwanamke wa kikenya mwenye hela zake uwii inataka moyo wa chuma! Maana yale majitu ni mababe by default!

Unaambiwa okay nishatembea nae so what, beat the hell wacha kunipea stress!!
Kwahiyo babe sisi mmetuonea na mnatucontrol eeh, tena wewe inabidi umpate huyo wa kumpea stress😀😀🙌
 
Na hizi hela ndio chanzo cha mahusiano kuyumba [emoji23][emoji23][emoji23]!!! Kum control mwanamke wa kikenya mwenye hela zake uwii inataka moyo wa chuma! Maana yale majitu ni mababe by default!

Unaambiwa okay nishatembea nae so what, beat the hell wacha kunipea stress!!
Kumbe huwa mnatusingizia bure sisi wanawake wa tz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wababe mnawajua
 
Back
Top Bottom