Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

Jionee hapa



Baada kukanusha kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi hatimaye mwigizaji Aunti Ezekiel na mwanamziki Kusah wameweka mambo hadharani kwa kumfanyia mtoto wao arobaini.

Ikumbukwe kwamba kabla ya hapo Kusah alikuwa aki-cohabit na Mwanamziki Ruby huku Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo
View attachment 1673757
Kusah ni mwanamuziki wa nini?
 
Kabisa Mkuu. Halafu itarahisisha sana mzazi mmojawapo akitaka kwenda kumtembelea mwanaye. Yaani Mfano Aunt na Kusa kwenda kumtembelea mtoto wa Rubby na Iyobo wamkute ndiyo baba mwenye nyumba na hivyo hivyo Iyobo na Rubby kwenda kumsalimia Kuki watamkuta Kusa ndiyo baba mwenye nyumba. Yaani wote 4 wanakutana one spot. Patamu aisee.
Watakung'uta foursome
 
Hao walamba lipsi wanajua kubeba majukumu ya kulea na kutunza mtoto,sio baadae wanaanza kulialia kwenye social media.
 
Back
Top Bottom