Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

Sasa anavyopenda kuandika "Yesu wangu akutunze" anatuchanganya naye.. [emoji16]
Kabisaaaaaaaaa anatupa shida wajumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisa Mkuu. Halafu itarahisisha sana mzazi mmojawapo akitaka kwenda kumtembelea mwanaye. Yaani Mfano Aunt na Kusa kwenda kumtembelea mtoto wa Rubby na Iyobo wamkute ndiyo baba mwenye nyumba na hivyo hivyo Iyobo na Rubby kwenda kumsalimia Kuki watamkuta Kusa ndiyo baba mwenye nyumba. Yaani wote 4 wanakutana one spot. Patamu aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah itakua III [emoji289]War
 
Kabisaaaaaaaaa anatupa shida wajumbe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
IMG_6299.jpg

Wakuu inamaana huyo mtoto kaveshwa kofia ya matakoni au ni kiremba? Mnitoe ushamba maana mashkholo ghete
 
Mwigizaji Aunty Ezekiel na Mwimbaji Kusah leo wamefanya 40 ya Mtoto wao wa kwanza pamoja aitwae Noman, Shughuli inafanyika nyumbani kwao Tegeta Wazo Dar es salaam.
 
kwani Kusaha ni
Jionee hapa

Baada kukanusha kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi hatimaye mwigizaji Aunty Ezekiel na mwanamziki Kusah wameweka mambo hadharani kwa kumfanyia mtoto wao arobaini.

Ikumbukwe kwamba kabla ya hapo Kusah alikuwa aki-cohabit na Mwanamziki Ruby huku Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo

View attachment 1673893

kwani Kusah ni kilema mbona ana mafimbo bwelele
 
Back
Top Bottom