Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

Hatimaye Aunty Ezekiel na Kusah wamtoa mtoto wao nje kwa mara ya kwanza

Jionee hapa



Baada kukanusha kwa muda mrefu kuhusu mahusiano yao ya kimapenzi hatimaye mwigizaji Aunty Ezekiel na mwanamziki Kusah wameweka mambo hadharani kwa kumfanyia mtoto wao arobaini.

Ikumbukwe kwamba kabla ya hapo Kusah alikuwa aki-cohabit na Mwanamziki Ruby huku Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo

View attachment 1673893

Hivi huyu binti yu salama kweli...kila kukicha anaacha matukio tu mara mwanaume huyu mara yule.....wanaume mnampima kweli huyu binti?
 
Back
Top Bottom