Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

FB_IMG_1699785200949.jpg
 
Yesu alipowaosha miguu wanafunzi wake haikuwa na tafsiri ya kuwa amezoea kuwaogesha Kila siku. Zaidi vitendo kama hivi vinatufunza na ni ishara ya kunyeyekea, kuwaunga mkono wananchi ili tukishakuwa wamoja kwa lugha Moja tupambane kutatua changamoto zinazotukabili kwa pamoja.
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Mmepata kiboko wenu. Na bado, mtasema, bado sana mtasemaaa!

Mbona husemi kwamba kule kanda ya Mbeya, Tulia, raisi wa mabunge yote duniani katinga huko na ndege ya kijeshi (Mig 23)? Na bado .....

Na mbona husemi, yule diaspora anayetaka kugombea urais wa nchi yetu, katinga kimya kimya kwa mguu kituo cha polisi Arusha akitokea kwao Marekani?
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Mbowe na Chopa yenu mmefikia wPi
 
Chama Cha Mabwege hicho
 
Kwanza ni kosa kisheria
 
Huyu anapanda tipa na wanachama wenzake nyie mnapanda chopa mahawara, ndg wa mbowe tu

Makonda ameweka presha juu sana ndg Kila siku amuishiwi kumwandika na kulialia

Ijayo anakuja na Fisi
Nimecheka kwa dharau sana !
 
Back
Top Bottom