Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
RubbishYesu alipowaosha miguu wanafunzi wake haikuwa na tafsiri ya kuwa amezoea kuwaogesha Kila siku. Zaidi vitendo kama hivi vinatufunza na ni ishara ya kunyeyekea, kuwaunga mkono wananchi ili tukishakuwa wamoja kwa lugha Moja tupambane kutatua changamoto zinazotukabili kwa pamoja.