Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

Halafu huo usanii ndio unaitwa magufuli style kuwa ni uongozi wa wanyonge! Na usishangae kukuta wananchi wanajaa kingi kuwa huyo kiongozi ni mwenzao.
Wananchi wenyewe wengi wametopea ujingani unategemea nini?
 
Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!
Afadhali sisi chama chetu tunatumia chopa kwenda kukutana na wananchi maskini wa kutupwa!
 
Watoa taarifa washasahau hoja ya bandari,sijui tume huru,sijui nini

Wakilala wakiamuka habari ni MAKONDA

Heko kwa wale wote waliopendekeza jina lake kwa ajili ya uteuzi

Aahaaaa
wewe ndo umesahau.Kwani wewe mechi ya simba na yanga unaizungumzia kila siku?Hebu punguza ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtaji wa ccm ni ujinga watanzania wenyewe
Ujonga una mwisho.Na wajonga wanazidi kupungua kila kunapokucha.wajinga wangekua hawapungui ccm na serikali yake isingepeleka mswada wakijinga unaohusu mambo ya uchaguzi bungeni.Ata wao wanajua hali ilivyo ndo maana wanatapatapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Sheria zinavunjwa hadharani na hakuna aa kufanya lolote.

Malori hayaruhusiwi kuneba abiria
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Aisee.. hataree...
 
Baada ya wafuasi wa CCM kufariki kwenye ajali ya lori lililokuwa limewapeleka mkutanoni jeshi la polisi lilipiga marufuku matumizi ya malori kubeba abiria, Makonda yuko juu ya sheria?
Basi Makonda ana haki ya kuipuuza hiyo "sheria."

Kumbe ni marufuku ya polisi baada ya ajali moja ya lori la abiria ?

Paul Makonda is sucking out all the political Oxygen in the room.... Mama keshajua kabugi, anafunikwa yeye na chama kizima na Cabinet nzima, hana jinsi lazima amtoe!
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
LOOoooh!

Kweli tutayaona mengi nyakati hizi.

Samia watu wake ni wa sanaa, kawekeza sana huko, lakini sasa wameamua kukifanya chama kizima kuwa cha sanaa vile vile!

Mkuu 'Erythro', hii picha inafaa kabisa kuingia kwenye maktaba. Iweke huko, tutakuwa tukiihitaji kwa kumbukumbu.

Hawa watu sasa wanawadharau waTanzania kuwa hawana akili.
 
Back
Top Bottom