Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

Yesu alipowaosha miguu wanafunzi wake haikuwa na tafsiri ya kuwa amezoea kuwaogesha Kila siku. Zaidi vitendo kama hivi vinatufunza na ni ishara ya kunyeyekea, kuwaunga mkono wananchi ili tukishakuwa wamoja kwa lugha Moja tupambane kutatua changamoto zinazotukabili kwa pamoja.
Angekuja hata kwa basi la tujue tupo pamoja kama yesu
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Anapromote umasikini na ufukara wa mawazo
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Ata Ruto aliangusha Mbuyu kwa kampeni zake za kupanda torori.Endeleeni kumpinga Makonda tutakutana hapa jukwaani baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Baada ya wafuasi wa CCM kufariki kwenye ajali ya lori lililokuwa limewapeleka mkutanoni jeshi la polisi lilipiga marufuku matumizi ya malori kubeba abiria, Makonda yuko juu ya sheria?
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Acha wivu Makonda kashawamaliza kila KITU
 
Mnaacha kujadili anachosema mnafatilia mambo madogomadogo ya kipuuzi.
Sioni tofauti ya chadema na ccm upande wa msoga.wote niwapigaji tu.
 
Eh kaliacha vxr [emoji1]

Wanasiasa wanajuwa ku act aise

Ova
 
Swaga [emoji23][emoji23][emoji91]

Sumbawanga ataingia kwa Ungo dadeki [emoji1][emoji1][emoji1]

Choki vs Banza Stone
Duh....

Umenikumbusha ile show ya choki alingia na farasi.....jamaa aliyemgusa farasi alikuwa jamaa yangu na nlikuwa naye pembeni...choki farasi akamtupa.....way back hiyo diamond jubelee

Ova
 
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Nyie si mmeishia kwenye mitandao, wenzenu wanazifikia kura za uhakika kwa mbinu zote. Mtashangaa uchaguzi ujao mkaambukia namba za viatu. Jifarijini na club houses zenu
 
Hivi hawa Viongozi hasa wa CCM huwa wanawaona Wananchi wana uwezo wa kufikiri angalau kidogo tu?
Halafu huo usanii ndio unaitwa magufuli style kuwa ni uongozi wa wanyonge! Na usishangae kukuta wananchi wanajaa kingi kuwa huyo kiongozi ni mwenzao.
 
Back
Top Bottom