Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.

Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?

Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko kama wao, What a joke!

View attachment 2811458
Siasa ni shule isyo na formula.
 
Jamii niliyoilenga imenielewa vizuri sana. Wewe kama hauko kwenye hilo kundi lengwa huwezi kuelewa, pole sana.
Huna sababu ya kunipa pole hata kidogo, kwa sababu maandishi yako humu yamejaa tele na yanajulikana ni wapi unakopimiwa urefu wa kamba yako.
 
Back
Top Bottom