Hatimaye CCM imeishiwa kabisa ushawishi? Hebu angalia haya mambo yaliyopitwa na wakati

Rubbish
 
Duh!
Na wewe umo kwenye haya!
 
Raia walikwisha somewa waraka wa TEC kwa wiki 6 mfululizo kuhusu ubaya wa IGA. Pasipo ufafanuzi wa kina, mikataba mitatu ya HGA kuhusu uwekezaji tata wa DP World ikasainiwa kisanii kupitia hadaa, majigambo, tambo na kejeli nyingi sana ndani yake.

Jamaa anatumika kama "neutralizing factor" ili kufanya "damage control" katika kile kinachoaminika kama sumu iliyokwisha kupenyezwa na TEC, wanaharakati, wabobezi wa sheria, pamoja na CDM. Tuelekeapo 2024 - 25 tutayashuhudia mambo mengi sana katika ulingo wa kisiasa nchini juu ya ufanisi wa mradi huu wa kisiasa, ambao kimahesabu umeiilenga sana kanda ya ziwa na ku "overlook" kanda zingine.
 
Siasa za kizamani sana ila utashangaa zinavutia watu.
Unayo kumbukizi yoyote unayoweza rejea, mkuu 'Prved', katika hizo "Siasa za kizamani sana" zinazofanana na usanii huu?

Kama siasa za namna hii "zinavutia watu", hawa watakuwa ni watu wa kisasa pia!
 
Siasa za kizamani sana ila utashangaa zinavutia watu.
Kama zinavuta watu basi siyo za kizamani.
Hii kuumia kwenu na kuchanganyikia ndo sababu haswa ya kurudishwa kwa huyu jamaa. "Ukiona wanakusifia, kuna mahali umekosea. Ukiona wanakupinga basi ujue umewatwanga!" JPM
 
Siasa iwe ccm au Chadema ukizitazama kiundani unagundua Hawa WATU waongo na hawana Huwezo wowote wakuleta mabadiliko kwa Taifa.

Sisi watu wenye kunusa tunaelewa kuwa hatuwezi kujizima data na kushabikia siasa bali hoja.
 
Kama nyinyi mnaona wameharibu, kaeni kimya, msilalamike basi, si muwaachie wakosee ili nyinyi muweze kupata faida ya kisiasa.
Wewe ni nani wa kutupangia cha kulalamika? Ni haki yetu kikatiba kutoa maoni.
 
Nakumbuka Mbunge (CHADEMA) Enzi hizo; wa Mpanda Said Arfi aliingia kwenye mkutano wa hadhara na Mkokoteni, daah
 
Sasa Bashite anaubunifu gani kichwani naunajua fika vyeti vyake vilivyo.
 
Jengeni chama, MAKONDA asiwatowe kwenye reli
 
Hadi useme 😁😁😁

View: https://twitter.com/MwananchiNews/status/1723990895014392071?t=INhzNjPGSIRRIYAU301czQ&s=19
 
Futuhi limetaamalaki....
Kwani siasa si ni futuhi? Mbona futuhi ya Mbowe na yule Diaspora wnanchi walikuwa inawaburudisha? Sasa Makonda kaifanya futuhi ya ccm kuwa kiburudisho kizuri zaidi, cha kiwango wa 5G. Pole sana rafiki yetu kwa 5G na Makonda. Acha kulialia.
 
Ndiyo mkuu, niko kote kote kutoa ushauri nasaha wa kitalaamu kwa vijana wetu wa sasa wa kitanzania ili wasidanganyike na kupotoshwa.
Mbona ni kama nawe ni mshiriki katika hayo ya kudanganya na kupotosha; au nimekusoma vibaya? Sioni 'objectivity' yoyote katika hayo uliyo andika pale.
 
Wakitaka ktufrahisha, wapingze gap ktk mishahara. Katiba inazungmzia nch kuwa ya demokrasia na kijamaa-uongo mtupu
 
Mbona ni kama nawe ni mshiriki katika hayo ya kudanganya na kupotosha; au nimekusoma vibaya? Sioni 'objectivity' yoyote katika hayo uliyo andika pale.
Jamii niliyoilenga imenielewa vizuri sana. Wewe kama hauko kwenye hilo kundi lengwa huwezi kuelewa, pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…