Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM na mgombea wao waanza kutumia chopa kama usafiri wa kampeni

Mmeanza na itakuwa agenda kuu ya mgombea Urais wa CHADEMA
 

Duh nguvu yote hii kwa ajili ya mzee rungwe tu au?
 
Sasa ukiketa dawa bila hospital utakuwa unawasambazia watu nyumbani..au ukiwanunulia watu magari bila barabara hizo gari watakuwa wanazipaki nyumbani kwa maonyesho?
Wafuasi wa upinzani, kufikiri kwao kama viongozi wao, ni vichwa vitupu. Mtu atafanyaje shughuli zake za maendeleo bila kuwepo maendeleo ya vitu. Km Wagombea wangewezaje kufanya kampeni, ambayo ni haki yao, bila barabara bora na imara?
 
Nyachae and JPM are birds of the same feather!
 
Magufuli hatakiwi kutumia chopa ,huo mtego bakini nao nyie wenyewe ,biashara za kina mfano wa George Saitoti hatuutaki
 
Walisema Lissu chopa ya nini? Atawafikiaje wananchi.. sasa huyu jiwe sijui hii chopa itaenda kama daladala.. ama itapaa angani tu.

Siasa za kipuuzi majibu yake huja kwa haraka sana.

Kama nawaona wanachi watakavyokuwa wanarukwa...
 
Wafuasi wa upinzani, kufikiri kwao kama viongozi wao, ni vichwa vitupu. Mtu atafanyaje shughuli zake za maendeleo bila kuwepo maendeleo ya vitu. Km Wagombea wangewezaje kufanya kampeni, ambayo ni haki yao, bila barabara bora na imara?
Au kusikika kwenye kampeni bila majenereta au umeme?
 
Kipande hiki kinatoa ujumbe kuwa huyo Nyachae sio kwamba ametoa tu Helikopta, pia atatoa mbinu jinsi ya kutekeleza mauaji kwenye uchaguzi huu dhidi ya wapinzani. Ujumbe huu unaeleza mengi kwa jicho la tatu.
Wapinzani muuawe kwa sababu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…