Uchaguzi 2020 Hatimaye CCM na mgombea wao waanza kutumia chopa kama usafiri wa kampeni

Chopa la nini tena, si akina Lusinde na maccm mengine walituaminisha kuwa atashinda bila hata kampeni? Madaraja hayatoshi tena kudanganyia? Midege je? Lakini hawa si wamehodhi tv na redio zikitangaza live kila wanachofanya, chopa la nini? Upepo umebadilika ghafla eti ee! Lakini kwa nini wamhofu Lissu kiasi hicho? Kwanza kusikiliza kampeni zake tunatumia simu ama kwenda kwenye mikutano yake. Sasa tumeanza kuamini kuwa ukweli huwa haufukiwi na uongo. Ogopa power ya teknolojia, utadhibiti tv,magazeti na resio lakini utakwama kwenye mitandao ya kijamii.
 
Eh! Mungu Baba 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

 
Kwa hiyo???
 
Ninacho animi ni kuwa hats Kama tutatumia meli kwenye kampeni,bila kuhakikisha Uhuru,haki na maendeleo ya kweli Yana kuwepo,muda tayari ulisha tuacha.kwam mpenda haki yeyote wito wangu kwako chagua mpenda haki ,utu na Uhuru wa kweliatika nyanja zote.
 
Mungu aliwakinga Chadema na hili kunyimwa kibali
Kutumia barabara unawafikia wananchi wote
Acheni waendelee na kujiinua eti tunatumia chopa ni kujipunguzia wa kukesha na kuabudu team walioko barabarani
 
Nawashauri Chopa hiyo asiitumie mgombea maana atatutia hasara ya kurudia uchaguzi.Hiyo chopa wamwachie Bashiru na polepole hata wakianguka uchaguzi utaendelea,Ccm bwana Chopa tena kutoka Kenya na namna mlivyowaumiza namna ile unafikiri wanawapenda.Mtajua hamjui!
 

Ndege wafananao huruka pamoja
 
Ameshtuka kuwa watu hawali hayo mapushapu yake wala madege.
hata rais awe vp hawezi kupa chakula cha kulea familia yako ndg..pambana kivyako mkuu mbona kuna watu wametusua ktk kipindi hichi... watu wanacholia liaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…