Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Hela sio tatizo, anafanya nini? Ni Eron musk, mark Zuckerberg, mtoto wa rais au kitu gani?
Pesa haitaki kelele,kwenye kelele hakuna hela,
Angalia Masaki na kawe, Kule Dar, au Chaduru na Kisasa Dodoma, au Unga limited na Njiro,
Mbambamba tu, wapo vijana bongo wanamiriki makampuni ya tekinolojia wana pesa ndeeefu, Ila hutawasikia na makelele kama hawa mbwiga.
 
sisi bado barbaric sn , kwamba mtu akijisifia ana hela bas hilo ni ttzo , hii ni ishara kuwa tuna jobless weng na badala ya tupambane twende juu ila sisi tunaangaika kujuana na maskin wenzetu
 
ww una hela ya kukodisha gar?
 
Tatizo anaonesha hela ila mishe za kupata hizo hela hana au hazioneshi , si ushoga huo[emoji23]
 
Sasa sielewi mtu kama anaigiza kwanini ashikwe?

Kwani alizitumia hizo pesa feki?
Nope hajashikwa isipokuwa tu amestukiwa na wana intaneti " the netizens" anajifanya ana hela anawatukana masikini kumbe anaweka elfu kumi juu ya vimbao na chini watu wakiona waone ana maburungutu
 
all these things zinahitaji pesa au mbona mnazungumza kama ni kitu kila mtu anaweza?

How many times amepost video yukokwenye ndege?

Hiyo video yake ya vimbao watu wameona mbao tu ila hawakuona pesa, sisi wabongo tuna matatizo mengi.
 
Hii thd kama imeanzishwa na mdada basi ni jambo la kawaida ila kama imeanzishwa na mtu mwenye ndevu zake,basi inasikitisha sana.
Kweli inazikitisha Bro, this shows how men wamekosa kazi,

Kama mtu anadhani kufake maisha humu ndani ni rahisi na yeye akafeki maisha,

Hakuna mtu atakukodishia RR au MB kwa 20k, Nauli za ndege mnazijua, hotel na appartment classic mnazijua bei zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…