Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Hao sio matajiri kaka yangu kuna Jamaa alikuwa anawanywesha watu Baa anasema anaesomesha watoto shule ya bei mbaya hamna kitu kuulizwa akasema saint Mary's. Wakati kuna watu wanasomesha IST, HOPAC, BRAEBURN, wamekaa kimya. Mungai amesomesha ISM lakini humsikii popote. Tajiri kweli yaani siyo rich tu bali Super Rich na Mega Rich wanabaki kuwa kimya kwa hapa Tanzania. na huwa hawasikiki popote wapo busy na mambo yao. Nchi hizo ina Matajiri wakubwa sana ila ndiyo hivyo vijana hatujishushi na tunapenda haraka. Ila hawa wazee ukikaa nao fresh wanakupa michongo kiroho safi. Na inachukua muda sana mpaka akuamini.Kelele ni character ya mtu tu.. matajiri wanaotaka wajue kama wamefika wapooo. Baa utawaona kelele zao
jimbo lipo wazi hilo kitambo ndo maana unaona karudiAiSee... Thebold kakuruhusu urudi jf... baada tu ya kumuachisha mtoto kunyonyesha!? Karibu nifa...
Wacha weee!!! Alaa! Kumbe!?jimbo lipo wazi hilo kitambo ndo maana unaona karudi
jitahidi maana the bold alimuahidi atamnunulia BMW X6 pengine alinunuliwa, inabidi we uwende ata na Vogue 😀Wacha weee!!! Alaa! Kumbe!?
Acha nifanye mpango wa usajili
Okay, sasa nimeelewa. Nilvyoona "abambwa" nikajuwa ameshikwa.Nope hajashikwa isipokuwa tu amestukiwa na wana intaneti " the netizens" anajifanya ana hela anawatukana masikini kumbe anaweka elfu kumi juu ya vimbao na chini watu wakiona waone ana maburungutu
Kelele ni character ya mtu.. Haina uhusiano wa moja kwa moja na kipato Cha mtu. Don't claimHao sio matajiri kaka yangu kuna Jamaa alikuwa anawanywesha watu Baa anasema anaesomesha watoto shule ya bei mbaya hamna kitu kuulizwa akasema saint Mary's. Wakati kuna watu wanasomesha IST, HOPAC, BRAEBURN, wamekaa kimya. Mungai amesomesha ISM lakini humsikii popote. Tajiri kweli yaani siyo rich tu bali Super Rich na Mega Rich wanabaki kuwa kimya kwa hapa Tanzania. na huwa hawasikiki popote wapo busy na mambo yao. Nchi hizo ina Matajiri wakubwa sana ila ndiyo hivyo vijana hatujishushi na tunapenda haraka. Ila hawa wazee ukikaa nao fresh wanakupa michongo kiroho safi. Na inachukua muda sana mpaka akuamini.
Kuna mvuta bangi mmoja alisikika kuwa hata dj ally b anaazima magariMambo ya mtandaoni ni fake fake tu
Wanaazima magari,majumba nk
Ova
Sijaona mtu mwenye kelele ambaye ni Mega rich au Super Rich. Nipatie mfano hata mmoja. Hela hazipigwi kelele bro mtu unakuwa na hela mpaka unaogopa mke au watoto watakuua si mchezo aisee. Unamjua Macha, Primi Mushi na wengine kina Marandu nakadhalika. Hawajulikani na hawasikiki. Hao ni wachache tu aisee Bongo kuna watu wana mawe sio kitoto.Kelele ni character ya mtu.. Haina uhusiano wa moja kwa moja na kipato Cha mtu. Don't claim
Fanya ufanyalo tafuta documentary inaitwa MONEY EXPLAINED utanishukuru baadaye 🙂 humu mpaka bishara ya betting na ujinga wote umeelezewa na anamna wwatu wanapambana ili uwe maskini wa kutupwa😅
Kuna watu kina
don lock
Andwer tate
Sir jeff
Wote wameelezewa kwa mbinu zao kabisaa
Mental illness is real.Check huyu mwengine tajiri chui. Hata range hajui ni mwingereza eti mjerumani.
View: https://youtu.be/OeAmdPTHV28?si=7_SjPbs6X9knzPF-
Nifah Lusungo King Kong III mrangi LIKUD
😅😅😅 jamaa anavimba sanaaOya National Anthem role model wako mwenye Benz C Class ya 2007 kakamatwa huku.
Gari ina umri sawa na iPhone ya kwanza kutoka? Shit.