Hatimaye Chief Godlove abambwa. Adaiwa kupost hela feki mitandaoni ili kuwahadaa watu kwamba ana hela

Hao sio matajiri kaka yangu kuna Jamaa alikuwa anawanywesha watu Baa anasema anaesomesha watoto shule ya bei mbaya hamna kitu kuulizwa akasema saint Mary's. Wakati kuna watu wanasomesha IST, HOPAC, BRAEBURN, wamekaa kimya. Mungai amesomesha ISM lakini humsikii popote. Tajiri kweli yaani siyo rich tu bali Super Rich na Mega Rich wanabaki kuwa kimya kwa hapa Tanzania. na huwa hawasikiki popote wapo busy na mambo yao. Nchi hizo ina Matajiri wakubwa sana ila ndiyo hivyo vijana hatujishushi na tunapenda haraka. Ila hawa wazee ukikaa nao fresh wanakupa michongo kiroho safi. Na inachukua muda sana mpaka akuamini.
 
Kelele ni character ya mtu tu.. matajiri wanaotaka wajue kama wamefika wapooo. Baa utawaona kelele zao
Hao sio matajiri kaka yangu kuna Jamaa alikuwa anawanywesha watu Baa anasema anaesomesha watoto shule ya bei mbaya hamna kitu kuulizwa akasema saint Mary's. Wakati kuna watu wanasomesha IST, HOPAC, BRAEBURN, wamekaa kimya. Mungai amesomesha ISM lakini humsikii popote. Tajiri kweli yaani siyo rich tu bali Super Rich na Mega Rich wanabaki kuwa kimya kwa hapa Tanzania. na huwa hawasikiki popote wapo busy na mambo yao. Nchi hizo ina Matajiri wakubwa sana ila ndiyo hivyo vijana hatujishushi na tunapenda haraka. Ila hawa wazee ukikaa nao fresh wanakupa michongo kiroho safi. Na inachukua muda sana mpaka akuamini.
 
Nope hajashikwa isipokuwa tu amestukiwa na wana intaneti " the netizens" anajifanya ana hela anawatukana masikini kumbe anaweka elfu kumi juu ya vimbao na chini watu wakiona waone ana maburungutu
Okay, sasa nimeelewa. Nilvyoona "abambwa" nikajuwa ameshikwa.
 
Huyu jamaa pamoja na janjajanja amewafanya vijana wengi watoke nyumbani wakasake chalaa.....,"kauli mbiu yake ya toka magetoni"akipewa support na na Mzee mzima
Chimakeke...daaah safi sana
TAFUTA HELA
 
Hao sio matajiri kaka yangu kuna Jamaa alikuwa anawanywesha watu Baa anasema anaesomesha watoto shule ya bei mbaya hamna kitu kuulizwa akasema saint Mary's. Wakati kuna watu wanasomesha IST, HOPAC, BRAEBURN, wamekaa kimya. Mungai amesomesha ISM lakini humsikii popote. Tajiri kweli yaani siyo rich tu bali Super Rich na Mega Rich wanabaki kuwa kimya kwa hapa Tanzania. na huwa hawasikiki popote wapo busy na mambo yao. Nchi hizo ina Matajiri wakubwa sana ila ndiyo hivyo vijana hatujishushi na tunapenda haraka. Ila hawa wazee ukikaa nao fresh wanakupa michongo kiroho safi. Na inachukua muda sana mpaka akuamini.
Kelele ni character ya mtu.. Haina uhusiano wa moja kwa moja na kipato Cha mtu. Don't claim
 
Sijaona mtu mwenye kelele ambaye ni Mega rich au Super Rich. Nipatie mfano hata mmoja. Hela hazipigwi kelele bro mtu unakuwa na hela mpaka unaogopa mke au watoto watakuua si mchezo aisee. Unamjua Macha, Primi Mushi na wengine kina Marandu nakadhalika. Hawajulikani na hawasikiki. Hao ni wachache tu aisee Bongo kuna watu wana mawe sio kitoto.
 
Fanya ufanyalo tafuta documentary inaitwa MONEY EXPLAINED utanishukuru baadaye 🙂 humu mpaka bishara ya betting na ujinga wote umeelezewa na anamna wwatu wanapambana ili uwe maskini wa kutupwa😅

Kuna watu kina
don lock
Andwer tate
Sir jeff
Wote wameelezewa kwa mbinu zao kabisaa

Sir Jeff aka ONTARIO kama bado hajajipata anaendeleza UTAPELI basi nitashangaa ,ni kama MR KUKU tu...Hawa jamaa wamepiga PESA za wajinga ,pesa walizopata wangeweza kuwekeza kwenye channel isiyo ya ujanja ujanja waachane na UTAPELI na kuumiza watu.
 
Back
Top Bottom